DOKEZO Wanafunzi zaidi ya 100 Mkoani Mbeya walazimishwa kushika kinyesi cha Binadamu kwa mikono na walimu wao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sisi tulipitishwa tuangalie chemba la mavi tulilolijaza kwa magodoro,Makopo nk plus ule mvuke na harufu ukigeuza shingo unakula kwenzi


Tulipanga mstari kama vile tunaaga maiti
Wanawafunzi wanawatesa sana waalimu ndio maana waalimu wanabuni adhabu za hovyo hovyo.

Ifunda adhabu ilikuwa kung'oa visiki tena muda wa darasani. Wenzio wanasoma wewe unapambana na kisiki
 
Sema ticha kazingua...angewaingiza hao wanafunzi wajisomee humo humo siku nzima atakaekataa kuingia ndio anapewa kesi ingine ya utoro.
 
Hizo ni stress za maisha tu kwa hao waalimu wamebadilika kuwa wanyama.
 
Sijaona sehemu iiyohusisha dini ya walimu ila angefanya mwarabu kwa giza mgeona balaa lake humu
Sasa mwarabu anaingiaje hapa?
Kwani mwarabu ni mtu mwema?
Waarabu wana mambo ya ajabu kuliko hayo, umewahi kumwona mwanamke wa kiarabu ameolewa na mtu mweusi huko Uarabuni?
Source ya tatizo ni wanafunzi wenyewe, mengine hayo ni jitihada za kukomesha tabia mbaya ya kunya darasani.
 
Mpaka mwanafunzi kwenda kujisaidia darasani, KUNA MAMBO FLANI HAWAKUBALIANI NA UONGOZI WA SHULE
 
Unaweza pita kimya kimya boss ni seriously issues hizi, sio lazima awe ndugu yako jaribu kuizoesha roho iwe na imani huruma..
Hapo walimu hawakutumia busara ingawa sio serious kama unavyo taka kutuaminisha

Kama mnalamba hadi nyuchi zenye fungus na kaswende kwa ulimi sembuse kushika mbolea hiyo?
 
Sisi tulipitishwa tuangalie chemba la mavi tulilolijaza kwa magodoro,Makopo nk plus ule mvuke na harufu ukigeuza shingo unakula kwenzi


Tulipanga mstari kama vile tunaaga maiti
Ndio maana tunataka serikali iwaoeleke jeshini owa lazima maana mnadeka sana hata mambo ya kawaida tuu mnaona mateso
 
Back
Top Bottom