mud-oil-chafu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2020
- 588
- 950
Ukiangalia ile pdf ya loan board watu wanawastan wa ada shilingi 350000 rough estimation, vyuo vingi ada ni mill +.
Wanachuo wengi ada wanajilipia na huwa wanalipia kupitia like boom la kwanza huku hela ya books and stationary 200000 ndo huwa inawapa confidence so wengi palehiwa wanakata kaka laki nne hivi kati ya ile laki Saba na kudumbukiza kwenye ada, pia vyuo huwa vinachelewa kufungua, huwa ni 15 Nov had 18, hiyo huwa Ina wapa unafuu wanafunz kwan boom la January huwa jirani.
Hiyo huwafanya walipe ada hata boom lote la kwanza bila wenge la njaa, tofaut na mwaka huu vyuo vina wahi kufungua, almost 90% hawana books and stationary na wamepewa fees ndogo hyo 350000 kwa wastanii. My thought watu wengi hawatareport Kwan kimahesabu ni ngumu sana kusurvive kwa hela hiyo na hata wataoreport wengi watadrop on the second semester or the first.
Wazazi huwa wanaweza sana kuwalipia ada Ila Kuna sababu huwa zinafanya wasilipe nazo ni;
👉Wazazi wengi mtoto Akisha maliza form six huwa wanajitoa kuhusu shule na mtoto huwa anajihangaikia mwenyewe na kimbilio huwa ni helsb, ukumbuke hata ile hela ya kuapply vyuo wazazi wengi huwa hawatoi kwa watoto zao.
👉Kutokana na helsb walivokuwa wakigawa mkopo hapo mwanzo ilionekana kama university education is free, kitu ambacho SI sahihi, hata Mimi nshawahi ambiwa dogo komaa huko juu education ni Bure na Kuna boom.
🤕My opinion wazazi mtuelewe tutapo waomba pesa za ada, wazazi wengi huwa hawatumi pesa kwa watoto zao Kwan huwa ni umefanyia nin laki tano.
🤕Wanafunzi tuishi kwa umakini sana tupunguze non senses na kuwaza madem, pombe na mageto makali.
🤕Helsb ongezeni hili dau japo bajet imeshapita aisee watu wana mabalaa wazaz hawaelew huko.
🥶Washikaji zangu wote wamedeclare kuto lipa ada na kukinga boom zote nne huku wakiandika kupiga special exams kama HESLB watapunguza hela ya books and stationary.
🥶Kama wanafunzi wa mwaka wa pili na watatu wanawaza kuacha chuo kama ada au boom itapunguza vipi kuhusu first year ambaye hata hajareport.
Huwezi kufa na afya njema Tanzania