Wanafunzi wavuliwa darasa iv viatu

MIUNDOMBINU

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
465
96
Jana 18th oct 2010 kimetokea kisa kimoja ktk shule ya uhuru mchanganyiko dar es salaam, ambapo wanafunzi wa darasa la nne zaidi ya 30 walivuliwa viatu. Kiasa cha kuvuliwa viatu kwa wanafunzi hao ni kushindwa kulipa pesa ya mtihani wa moko ambao unafanyika leo 19th oct 2010.wanafunzi hao walijitaidi sana kumbembeleza mwl wao pasipo mafanikio walipo peleka malalamiko kwa mkuu wa shule napo waliambulia patupu hivyo kulazimika kurudi nyumbani peku peku (pasina viatu).

Je mdau wa elimu unasemaje khs hili jambo. Toa maoni yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom