Wanafunzi wanazidi kuharibika tu

Wanafunzi wanazidi kuharibika tu

Mkuu Dunia ya leo nishida, wanafunzi darasani wanawaza ngono tu. Nakumbuka kipindi nipo form one kulikuwa na mabinti wanapiga story za ngono na kuambiana hadi style wanazotumia wakati wakilana na wame za watu. It was 14 years ago.. I do no now days,
kumbe yameanza miaka ya nyuma tuu afu wanalaumiwa wa leo[emoji86] [emoji86]
 
WANAFUNZI WA KIKE WAPO BUSY KUJIREMBA, NA KUVAA SKETI FUPI.. DAR KWA UPANDE WA SEKONDARI WATAENDELEA KUPGA ZERO MPK KIELEWEKE.
 
Siku hizi hajawahi kuzaa watoto watoto hawa ni wetu tunaopaswa lawama ni sisi wazazi. tumeyaacha mapokeo tuliyopokea kwa wazazi wetu hatukuwapokeza watoto wetu tumeacha wamepokea ya magharibi. Mchawi ni sisi sio watoto wa Siku hizi (asifunzwa na wazazi ataf.........) tuanze sisi wazazi kuwafundisha mkuu
 
Kizazi cha Sasa hakuna ufuatiliaji kuanzia nyumbani kwa wazazi


I wish ningekuwepo, kwanza ningerekodi mazungumzo yao yote, halafu nashuka nao kituoni, nawafuatilia hadi kwao nikalonge na wazazi wao ili kunusuru kizazi hiki kuipeleka Tanzania shimoni.

Huo ndiyo ungekuwa mchango wangu kwa nchi
 
Back
Top Bottom