lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,133
Njoo ndo nachoma hapa..Ngoja nikatafute chapati ya kunywea chai...
Njoo ndo nachoma hapa..Ngoja nikatafute chapati ya kunywea chai...
Sidhani kama umeoa kweli. Maana uliyoyaandika hayaendani na watu wa hivyo mkuu.
Ulilazimishwa kuoa huyo mwanamke? Kaa tulia na mke wako coz ndo uliyemchagua
![]()
Mimi ni mwalimu nakafundisha haka kacute, yaani hali yangu ni mbaya!!..... Daily nakonda!
Kwaiyo wote wenye sura mbaya wamefanana na baba zao?wengine wanafanana mama zao mnawasingizia bure. Si kweli coz watoto wa kwanza kuzaliwa mara nyingi wanafanana na baba zao awe wa ke/me. Mfano mm ni wa kwanza na namfanana baba yangu pua kucha zote ni baba tupu mbona niko kawaida?
Kumbe mwanaume lazima aoe mzuri ili amzalie watoto wazuri????
mkuu katika kusoma soma kwako umesoma boys tupu amaa..?
Kuzaa mtoto mzuri ni kwa majaaliwa ya Muumba mbingu na nchi pekee.Kwaiyo wote wenye sura mbaya wamefanana na baba zao?wengine wanafanana mama zao mnawasingizia bure. Si kweli coz watoto wa kwanza kuzaliwa mara nyingi wanafanana na baba zao awe wa ke/me. Mfano mm ni wa kwanza na namfanana baba yangu pua kucha zote ni baba tupu mbona niko kawaida?
Kumbe mwanaume lazima aoe mzuri ili amzalie watoto wazuri????
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa