vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,638
- Thread starter
- #21
Nenda Jolly club... wapo wengi sana wamezaa uniform za shule..
Wamezaa tena?
Nenda Jolly club... wapo wengi sana wamezaa uniform za shule..
Jela inakuita ndugu
Wamezaa tena?
Hahahaah si ndio hapo sijui utaficha sura yako wapiHiyo jela bora ingekuwa kimya kimya....Majamaa yanakuja na kamera.....Ntaficha wapi uso wangu mie
Nahisi Ni yeyeDaah we jamaa ujawai kuishiwa vituko kama gagaladudu
Nje ya Mada Mimi hapaSwali nje ya mada...una undugu na galadudu??
Mshonee MKEO Hizo UNIFORM Ili Umtamani Yeye Na Uepuke Balaa la Kwenda Kwa PILATO!!
Kama sketi za shule zinakuchanganya mshonee mkeo
Acha kumponda mkeo ndugu yangu utapata laana. Ww unavomuoa hukuona kama amefanana na baba yake? Tujifunze kuwathamini wake zetu kwa maumbile yao, hata ww hapo ulipo hujafikia hitajio lake ila anakuvumilia tu. Tamaa yako ya hao wenye sare isikufanye umponde mkeo ndugu yangu, ukiendelea hivyo basi tambua kuwa hiyo tamaa yako haitaiacha ndoa yako salama