scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,816
- 5,620
ndo utoe hela ununue ndio kwani hiyo adhabu amelazimishwa kufanya, kwanza tofali tatu ni chache sanaKuna tofauti ya kupewa vifaa ufyatue na kwenda kununua soma uelewe, hela za kununua tofali watoto wanapata wapi?
shemeji yangu yuko advance, ukichelewa rimu mbili