Wanafunzi waliokwama Dodoma wageuka ombaomba

Wanafunzi waliokwama Dodoma wageuka ombaomba

Inauma sana, watoto waliokwama Dodoma kufuatia kufukuzwa kutoka UDOM waanza uombaomba katika maeneo ya mji viunga vyake hususani Ng'ong'ona, Makulu na maeneo ya Jamatini pamoja na stand ya mabasi.
Pia kwa wale waliojistri kwa jamaa zao wenye magheto pande za makulu na Ng'ong'ona hali si shwari kwani wamelazimika kulala watu zaidi ya wanne kwenye chumba kimoja. Kutoka ghetto moja nililotembelea kujionea hali nimekuta jamaa mwenye ana mke wake wanaishi pamoja lakini kwa kuwahurumia ndugu zake kutoka huko kwao Kigoma kaamua kulala nao pamoja na mkewe kwenye chumba kimoja yaani single room.
Hali ya chakula si rahisi kujua lakini itakuwa mbaya sana bila shaka ikizingatiwa mwenyeji wao ni mwanafunzi pale COED.
Jambo lingine la kusikitisha kuna mabinti waliobeba mimba wakiwa chuoni bila kuwapa taarifa wazazi wao, leo wamebaki wanalia tu katika nyumba walizopanga kwani wanaogopa kurejea makwao wakiwa na mimba au watoto kabisa.
Daah aise inauma sana wangewafikiria
 
Huyu mwanamke amekurupuka sana sijui CHILDLESS TEAM yaani hana mtoto kabisa kwani hata hakufiria wataendaje makwao hawa watoto na bahati mbaya asilimia kubwa wanatokea huko kwake Kigoma umbali mrefu sana kutoka Dodoma.
Hadi jioni ya leo bado mabinti wanaonekana maeneo ya stand ukiwauliza nyumbani lini wanakosa cha kujibu. Nimebahatika kukutana na mvulana mmoja nae analia anasema tiketi amekata leo tayari kwa kwenda Rombo leo lakini anasema ameishiwa hata mia ya kula njiani na ni yatima kwa maelezo yake. Alikuwa na 34,000/- tu na ndo kakata ticket.
 
Nafikiri baada ya muda hawa watu tunaowapa uongozi itabidi tuangalie wanaishije na jamii husika.
Hapa ubidadamu ulitakiwa sana zaidi ya sheria ila sasa hekima inapokosekana ndo tunajiuliza zaidi ya fikra zetu.
 
Wamepewa pesa tar 21 april za kujikimu kwa siku 60 sh 500,000 kila mmoja sasa iweje leo tu hawana pesa wakati ndio kwanza mwezi umekata je,kama wangebaki wangeishije?
WAPUNGUZE STAREHE ZA KIJINGA
 
Huyu mwanamke amekurupuka sana sijui CHILDLESS TEAM yaani hana mtoto kabisa kwani hata hakufiria wataendaje makwao hawa watoto na bahati mbaya asilimia kubwa wanatokea huko kwake Kigoma umbali mrefu sana kutoka Dodoma.
Hadi jioni ya leo bado mabinti wanaonekana maeneo ya stand ukiwauliza nyumbani lini wanakosa cha kujibu. Nimebahatika kukutana na mvulana mmoja nae analia anasema tiketi amekata leo tayari kwa kwenda Rombo leo lakini anasema ameishiwa hata mia ya kula njiani na ni yatima kwa maelezo yake. Alikuwa na 34,000/- tu na ndo kakata ticket.
Pesa wanazo ni ujinga wao tu
 
Halafu kuna chumvi nyingi kwenye habari yako, na warudi tu makwao hamna namna nyingine...
 
Tulisikia wabunge wanajitapa kuwa wamewasaidia baada ya dada yao kukataa suala lao lisizungumzwe
 
Serikali ipo dhaifu kweli ila sio kwa kiasi hiko bwana.....
Form four akamfundishe form four mwenzake loh..,stupid
 
Wamepewa pesa tar 21 april za kujikimu kwa siku 60 sh 500,000 kila mmoja sasa iweje leo tu hawana pesa wakati ndio kwanza mwezi umekata je,kama wangebaki wangeishije?
WAPUNGUZE STAREHE ZA KIJINGA
If you could have been to a university and were loan beneficiary hailing from a poor family like that of mMine you wouldn't dare ask such a question.
Pia unatakiwa utambue kuwa gharama za maisha hutofautiana kutoka eneo moja kwenda jingine hivyo usione namba tu 500,000/- ukadhani ni hela kubwa. Hiyo ukichukua compedium 4 tu na chakula kwa wiki mbili unahisi unaingia ECONOMIC CRISIS
 
Mkuu sasa ww ulitakaje?unafkr serikali haijaliona hilo?hivi unafikiri pa1 na udhaifu wa govt ya ccm inaweza kufanya ujinga kama huo?
KUNA MENGI YAMEFICHWA HAPA ...CHIMBUA UJUE LENGO

ILA CCM NI HOVYO+
 
Serikali ina busara za mtu anaye jinyea kisha kujipulizia perfume hili watu wa nje wasijuwe aliliotenda.
Kuna kambi nyingi za wakimbizi nchini wanakaa watu wa nje lakini ndani ya nchi kuna watu wanahishi kama wakimbizi na Bado hawapewi huduma stahiki za ukimbizi zaidi kuhudumiwa milio ya risasi na mabomu ya machozi na kukoshwa na maji ya muwasho.
 
Kwa kweli hii nchi imechoka naona kheri ningezaliwa hata Somalia au Palestina nikajifunza kukwepa mabomu kuliko kuwa unfairly treated in my homeland tena na mtu niliyempigia kura.
 
Back
Top Bottom