Wanafunzi waliokwama Dodoma wageuka ombaomba

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
4,763
Reaction score
9,236
Inauma sana, watoto waliokwama Dodoma kufuatia kufukuzwa kutoka UDOM waanza uombaomba katika maeneo ya mji viunga vyake hususani Ng'ong'ona, Makulu na maeneo ya Jamatini pamoja na stand ya mabasi.

Pia kwa wale waliojistri kwa jamaa zao wenye magheto pande za makulu na Ng'ong'ona hali si shwari kwani wamelazimika kulala watu zaidi ya wanne kwenye chumba kimoja. Kutoka ghetto moja nililotembelea kujionea hali nimekuta jamaa mwenye ana mke wake wanaishi pamoja lakini kwa kuwahurumia ndugu zake kutoka huko kwao Kigoma kaamua kulala nao pamoja na mkewe kwenye chumba kimoja yaani single room.

Hali ya chakula si rahisi kujua lakini itakuwa mbaya sana bila shaka ikizingatiwa mwenyeji wao ni mwanafunzi pale COED.

Jambo lingine la kusikitisha kuna mabinti waliobeba mimba wakiwa chuoni bila kuwapa taarifa wazazi wao, leo wamebaki wanalia tu katika nyumba walizopanga kwani wanaogopa kurejea makwao wakiwa na mimba au watoto kabisa.
 
Si mshaambiwa kuwa ni form four?
 
Form four waliingiaje jaman mbona mnatetea serikali kama mnapata posho na mishahara kama naibu spika
 
Hilo la mimba limekaa ki umbea umbea wote ni watoto point ni zitafutwe njia za kuwasaidia...
 
ila hao mademu waliokuwa social wameacha kilio huku mana ndio ilikuwa watu wanaponea huko.saivi kuna watu wapo single kisa hao watoto ambao miaka yao ni 16 na 17
 
Kiukweli inauma. Hatakama unamdogo wako anasoma lazima uzimie kidogo. But hatakama kunamistake ilishatokea kipindi kilichopita inamaana hakuna njia nyingine ya kuweza kuwasaidia hawa wanafunzi ? Kwa maana wao hawakijiweka bali waliwekwa so inakuwa ngumu kiasi gani kutafuta njia mbadala? Lasivyo serikali iwapeleke kidato cha tano.!
 
Inauma sana, watoto waliokwama Dodoma kufuatia kufukuzwa kutoka UDOM waanza uombaomba katika maeneo ya mji viunga vyake hususani Ng'ong'ona, Makulu na maeneo ya Jamatini pamoja na stand ya mabasi.
Pia kwa wale waliojistri kwa jamaa zao wenye magheto pande za makulu na Ng'ong'ona hali si shwari kwani wamelazimika kulala watu zaidi ya wanne kwenye chumba kimoja. Kutoka ghetto moja nililotembelea kujionea hali nimekuta jamaa mwenye ana mke wake wanaishi pamoja lakini kwa kuwahurumia ndugu zake kutoka huko kwao Kigoma kaamua kulala nao pamoja na mkewe kwenye chumba kimoja yaani single room.
Hali ya chakula si rahisi kujua lakini itakuwa mbaya sana bila shaka ikizingatiwa mwenyeji wao ni mwanafunzi pale COED.
Jambo lingine la kusikitisha kuna mabinti waliobeba mimba wakiwa chuoni bila kuwapa taarifa wazazi wao, leo wamebaki wanalia tu katika nyumba walizopanga kwani wanaogopa kurejea makwao wakiwa na mimba au watoto kabisa.
What the Fu.... Please Mr JPM have mercy........ Hao Madogo unawahumiliate Kavukavu Yani Tz Nuksi Kinoma...
 
Inauma sana, watoto waliokwama Dodoma kufuatia kufukuzwa kutoka UDOM waanza uombaomba katika maeneo ya mji viunga vyake hususani Ng'ong'ona, Makulu na maeneo ya Jamatini pamoja na stand ya mabasi.
Pia kwa wale waliojistri kwa jamaa zao wenye magheto pande za makulu na Ng'ong'ona hali si shwari kwani wamelazimika kulala watu zaidi ya wanne kwenye chumba kimoja. Kutoka ghetto moja nililotembelea kujionea hali nimekuta jamaa mwenye ana mke wake wanaishi pamoja lakini kwa kuwahurumia ndugu zake kutoka huko kwao Kigoma kaamua kulala nao pamoja na mkewe kwenye chumba kimoja yaani single room.
Hali ya chakula si rahisi kujua lakini itakuwa mbaya sana bila shaka ikizingatiwa mwenyeji wao ni mwanafunzi pale COED.
Jambo lingine la kusikitisha kuna mabinti waliobeba mimba wakiwa chuoni bila kuwapa taarifa wazazi wao, leo wamebaki wanalia tu katika nyumba walizopanga kwani wanaogopa kurejea makwao wakiwa na mimba au watoto kabisa.
Yaan kwa mateso hayo wanayoyapata akitokea hata mtu akawashawishi kuingia kikundi cha kigaid wanaenda... kwel
 
Haraka sana wanaenda kwani toka waone ile notes wengi walisikika wakilia na kusema ikitokea mtu kama huyo anawahitaji wanaemda fasta sana.
 
Waandishi wa habari mnakuza hili swala
 
Back
Top Bottom