Mkuu mbona kichwa cha habari hakiendani na ulichokiandika(Maudhui)!? Nilitarajia nisikie idadi ya waalimu waliobakwa!!, kumbe ni vitisho tu, mbona vitisho kama hivi vipo sehemu nyingi tu hapa tz? Hata hivyo ukiona sehemu fulani wapo nyuma kielimu, nidhamu yao kwa walimu ipo chini vilevile! hata kimaendeleo wapo nyuma! Na kiongozi wao wa kuchaguliwa lazima atakuwa Gamba! Tusome kwa bidii ili tuinusuru nchi yetu na maradhi ujinga!!,,
Comment za kipumbavu kama hizi ndo zinasababisha watu wapigwe BANwanasemaga ni Mfum kristo.. kumbe na mabusha na madhara ya Moudy
Sidhani kama muanzisha mada ndio anamiliki hii HABARI kwani hata walioiripoti redioni na magazetini jana waliiripoti kwa kichwa hicho cha habari.Nachoona kimepungua hapa ni habari yenyewe kwani katika magazeti ya jana kuliripotiwa matukio ya walimu kubusiwa kwa nguvu na kushikwa mwilini na wanafunzi hao na ikadhihirika kwamba wazazi wa watoto hao wamekuwa wakiwatetea kwa matendo yao.
Kumkamata mtu kwenye kona na kumbusu ni ubakaji. Kumpapasa mwilini na kumfanyia kauli za mapenzi nao ni ubakaji wa kihisia.
Hawa watoto majahili watakuwa wameelekezwa na viongozi wao wa dini kwani ndio hawa hawa wanaosemaga kuwa wamefelishwa
Comment za kipumbavu kama hizi ndo zinasababisha watu wapigwe BAN
hivi ukinyamaza bila kuongea UTUMBO kama huu utaharibikiwa na nini?
Dini ni imani so ukimdharau mwenzio kwa sababu ya dini ujui thamani ya imani yako, Mungu hatoi nafasi hiyo ya dharau only shetani utakuwa unamwakilisha shetani
suluhisho ni rahisi, walimu wa kike wote wahamishwe waletwe wa kiume. Kama nao wakibakwa, basi kuna tatizo.
Mkuu dudus tuseme nini sasa, huo utovu wa nidhamu namna hii eti wanafunzi badala ya kuwaheshimu walimu wao wanatisha kuwabaka??? Ni nini sasa hii ni maadili ya mila, jando na unyago, maadili ya kidini utovu wa nidhamu na kutokuwa na woga hata kidogo, au family up bringing malezi ya kiukoo???? Kuna kutambua faida ya elimu kweli huko???Wakuu heshima;
Pamoja na kasi iliyopo nchini ya kumtafuta sana elimu popote alipo hata kama ni Uchina, kuna "wajinga" fulani hapo wilayani Rufiji badala kuzingatia masomo wao wanatishia kuwabaka walimu wa kike hapo shuleni kwao.
Taarifa hizi nimezipata asubuhi ya leo kwenye kipindi cha Radio One Nipashe ambapo mwandishi alifanya mahojiano na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji (sorry, nimemsahau jina). Mkuu wa Wilaya amethibitisha ukweli wa habari hizo na ameiagiza mamlaka husika kuifunga shule hiyo kutokana na utovu wa nidhamu uliokithiri kiasi kwamba imefikia hatua walimu wote kuomba uhamisho au kuacha kazi baada ya kukerwa na tabia chafu za wanafunzi wa kiume shuleni hapo.
Haya wakuu, hiyo ni "sample" tu kati ya shule zetu kadhaa zenye mienendo isiyoridhisha kitaaluma na kimaadili. Nawasilisha mezani kwenu Great Thinkers.
My Take:
(i) Hivi huu utovu wa maadili uliopitiliza unaoelekea kusambaa kwa kasi nchini hadi kwa "watoto wadogo" chanzo na athari zake kwa mustakabali wa taifa letu ni nini? Na ni hatua gani zichukuliwe?
(ii) Hivi hawa "maamuma" wanajua kinachoendelea duniani kweli hawa? wanajua nafasi ya elimu katika maisha ya mwanadamu wa leo? Si ndio hawa hawa leo wanachezea nafasi waliyoipata na ndio wa kwanza kesho kulalamika "tunaonewa"?
(iii) Rufiji ni kati ya maeneo yaliyo nyuma kielimu nchini. Ilitegemewa wangechangamkia sana fursa hii ili kujikomboa lakini inaonekana kuwa kinyume. Jamii za huko zina mchango gani katika kadhia hii? Wazazi na hata taasisi za kidini nini mchango wao hapa; malezi ya watoto na maadili kwa ujumla?
(vi) Endapo shule hiyo itafungwa kwa mujibu wa agizo la DC, nini kitegemewe? Maandamano ya wanafunzi na wanajamii kupinga "uonevu" huu kama ambavyo imekuwa ikishuhudiwa siku za hivi karibuni? Mihadhara mikali mikali kwenye nyumba za ibada na shutuma kwenye media za kidini kupinga uonevu huu "uliokithiri" kama ambavyo imetokea kule Tunduru, Bagamoyo, n.k?
Huwezi kulaumiwa kwa kumdharau mtu aliyejidharau mwenyewe. Kuna mzozo fulani wa watoto wa shule moja huko huko Ikwiriri waliuanzisha kupinga mwanafunzi mmoja kula kitimoto bwenini. Cha ajabu comments za watu wengi zilikuwa kuwa ule ni ukanda wa pwani ambao occupants wake kwa asilimia kubwa na non kitimoto eaters kwa hiyo ni sahihi kwao kupinga kitimoto na ni haki yao ku-demand nyumba ya ibada fulani ijengwe shuleni hapo.
Leo hii imekuwa dhambi kuwatambua watu hao hao kwa kigezo hicho hicho kwa kuwa tu leo wamejichafua. THOSE ARE MUSLIMS. Ngoja yatoke majina ya waliofanya uhuni huo utaniambia. Sisi wengine dini yetu inakataza kuwaangalia wanawake kwa mtazamo wa ngono tu