Wanafunzi Wabaka Walimu Wao, Shule Kufungwa - Ni Huko Rufiji

nimeamini sasa shigongo anaharibu nchi. Ona jinsi alivyoharibu jinsi ya uandikaji wa vichwa vya habari ili kupata tension kubwa,kicha cha habari mleta thread umeandika kama gazeti la udaku,as if jambo limetokea kumbe siyo,rekebisha heading,acha ushigongoism!


1.jpg
 
Kuna wakati huwa natafakari,wakati wengine elimu ni lazima,kwetu ni option! Ila kwa kulalamika sasa,yaani akili zilishafunga! Vijana wako Ngono oriented! Halafu tukifeli vijisababu kibao!
 
Mods siwafundishi kazi lakini kwa hali iliyopo nchini kuanzia malumbano ya kutengwa kwa baadhi ya maeneo (Rufiji in this case);

baadhi ya makundi ya kijamii kuandamana kumtaka Mtendaji Mkuu wa NECTA kujiuzulu kisa "kufelishwa" makusudi kwa baadhi ya wanafunzi hadi Waziri husika kuingilia kati;

kutuhumiwa kwa Nyerere na viongozi wengine kuhusika na ukandamizaji wa baadhi ya makundi katika jamii kinyume na ukweli halisi ilhali walalamishi hao hawaoni kasoro zao;

wanasiasa kuishauri serikali au wao kujinadi kutoa elimu bure watakapoingia madarakani ilhali wengine wakifanya mchezo na nafasi adhimu waliyoipata, n.k;

upotoshaji makusudi unaofanywa na baadhi ya media na kuhusu "ubaguzi" katika elimu na athari hasi kwa siasa zetu kutokana na upotoshoji huo;

Hii habari kwa zaidi ya 90% ni ya kisiasa. Tafadhali iwekeni kwenye Jukwaa sahihi.
 
Back
Top Bottom