Wanafunzi wa washindwa kufanya Necta Kasulu Kigoma, source TBC

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Taarifa ya habari ya TBC1 imeonyesha wanafunzi 36 wameshindwa kufanya mtihahani wa Taifa unaondelea wa kidato cha nne, kisa eti hawakufaulu mtihani wa std 7 four years ago. Kisa eti hawakupata alama 100 mtihani wa std 7.
My take
1. ilikuwaje wakaandikishwa wakati wanaanza kidato cha kwanza kama kilikuwa ndo kigezo
maswali yapo mengi sana kuhusu hii issue.
Serikali iache kuwapotezea wanafunzi muda, wale waliopo private walifikisha huo wastani.
 
Hata mimi nimeshangaa tokea walipoingia fom on inamaana hawakulijua hilo?au niule ulegelege wa serekali yetu?vituvingine vinatia haibu,wadau wa elimu hebu fungukeni juuya hili?
 
Hilo si tatizo la kulaumu serikali maana hopo ni tatizo la watoto wenyewe na wakuu wa shule husika.Serikali imeweka vigezo lazima vifuatwe kama wameenda kinyume na taratibu kaz kwa wazaz kuwaburuza wakuu wa shule mahakamani.
 
hiyo shule inasimamiwa nanani?nikwanini kuwepo na mkaguzi wa shule mtihani wa fom to walipitaje?usimamisi ndio m,bofu na msimamisi wa shule ni serekali,
 
Back
Top Bottom