Wanafunzi wa University na ulimbukeni wa Dar

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,968
Reaction score
6,059
Niliuliza zaidi ya wanafunzi 10, ukifunga utabaki au utaenda home anasema naenda home.

Ukimuuliza home ni wapi anasema Dar wakati ni mkurya wa kyabakari sijui wapi.

Watano waliobaki wanaenda kwa dada zao

Ndio maana wengi utuandikia pumba humu JF mfano mzuri ni yule Gunner11
 
Ulimbukeni ni kumchagulia mtu baki home kwake ni wapi.
 
Kwamba wenye nyumbani kwao Dar ni wazaramo peke yao?

Kwamba Mkurya hawezi kuwa na makazi Dar?
 
Dada ni kama wamekukwaza sana ragiki zako wao wamebaki wewe umelazimika uende kwenu Mbwinde. Unamchagulia mtu kwao? Nawe tafuta bwana ubaki dar mi ningekuwa Dar ningekuoa kwa kipindi hiki kifupi nawe ubaki kama wenzio.
 
hii dis track bado haijachanganya
 
Dada ni kama wamekukwaza sana ragiki zako wao wamebaki wewe umelazimika uende kwenu Mbwinde. Unamchagulia mtu kwao? Nawe tafuta bwana ubaki dar mi ningekuwa Dar ningekuoa kwa kipindi hiki kifupi nawe ubaki kama wenzio.
wewe ***** wa kigalatia uje kufanya nini Dar mji wa kobaz, baki huko huko maporini uendelee kufirw@ na wachunga ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…