Wanafunzi wa siku hizi bhana

Wanafunzi wa siku hizi bhana

Bayo

Senior Member
Joined
Jul 2, 2009
Posts
195
Reaction score
34
Katika shule moja mwalimu wa uraia akiwa darasani anakata pindi, maongezi yalikuwa hivi na wanafunzi.

Mwalimu: raisi wa kwanza wa Tanzania ni Nye

wanafunzi: Kunyaaaaaaaaaaaaaaaaaa

hahahaha kweli noma! Ila hakuna neno la kiswahili linaloandikwa (Bhana)

Teh teh teh teh!!!!!!!!!!!
Hiki kituko wala sina hamu hapa... duh!!!!!!!!!!!

Duh! Ila imenikumbusha baadhi ya maticha na maswali yao kwenye mitihani, utakuta swali "Waziri wa miundombinu ni mh. John Pombe Magu......?

gu maji, hawakawii kugb hvo

Katika shule moja mwalimu wa uraia akiwa darasani anakata pindi, maongezi yalikuwa hivi na wanafunzi.

Mwalimu: raisi wa kwanza wa Tanzania ni Nye

wanafunzi: Kunyaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ha ha ha haaaa. hivi watu huwa mnafikiri nini.., yaaani mbavu sina mie...... duh

hii mambo yakufupisha maneno ili mwenzio amalizie yapo kwa wachaga sana, ukisimuliwa hadithi unaweza jikuta we ndo umehadithia hadithi nzima badala ya kusikiliza;-

Mangi; si nilimpigia simu lakini haku....
sam: ...hakuja

Mangi: nikaona isiwe shida, nikaamua nimfa...
sam: ...ukaamua umfate.

Mangi: kumbe kule alikuwa na ma..
sam: ...manzi wake.

wachaga mpooooooooooo

Duh! Ila imenikumbusha baadhi ya maticha na maswali yao kwenye mitihani, utakuta swali "Waziri wa miundombinu ni mh. John Pombe Magu......?

kwa style zao za siku hizi wangejibu Magugumaji.

ha ha ha haaaa. hivi watu huwa mnafikiri nini.., yaaani mbavu sina mie...... duh

<br /kk we acha tu hawa madent wa sahv washadata, mchina noma

hii mambo yakufupisha maneno ili mwenzio amalizie yapo kwa wachaga sana, ukisimuliwa hadithi unaweza jikuta we ndo umehadithia hadithi nzima badala ya kusikiliza;-

Mangi; si nilimpigia simu lakini haku....

sam: ...hakuja

Mangi: nikaona isiwe shida, nikaamua nimfa...

sam: ...ukaamua umfate.

Mangi: kumbe kule alikuwa na ma..

sam: ...manzi wake.

wachaga mpooooooooooo

sam umewagusa kina kavishe, urio, urassa na wengineo

Back
Top Bottom