Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
- Thread starter
- #21
Nashukuru ndg m-bongotz kwa maelezo yako mazuri. Bado sijaelewa hiyo "clearance" ya CJ ni ipi hasa kwa mtu aliyemaliza LST, especially kama mtu amefaulu mitihani ya LST? In other words, CJ kufanya "clearance" kuna kuhojiwa tena na huyo mkubwa wa mahakama au anafanyaje?