Wanafunzi wa Second Cohort, Law School: Tuhabarishane!

Nashukuru ndg m-bongotz kwa maelezo yako mazuri. Bado sijaelewa hiyo "clearance" ya CJ ni ipi hasa kwa mtu aliyemaliza LST, especially kama mtu amefaulu mitihani ya LST? In other words, CJ kufanya "clearance" kuna kuhojiwa tena na huyo mkubwa wa mahakama au anafanyaje?
 
Thank u BUCHANAN,clearance ya CJ ni ka interview kadogo wewe na yeye tu,wenyewe waliokwisha pita wanasema ni kama kutaka kukufahamu tu na mtu huwezi kufeli hiyo labda uwe bubu kabisa,ni procedure ndogo ambayo haikugharimu hata 10 minutes.
 
mzee, mambo kama haya ndo yanaifanya sekta iwe ina perform chini ya kiwango. It is very possible kwa mfumo wa nchi ambayo watendaji wanaishi kwa posho na vijisemina kukuta makosa kama haya ya kugonganisha namba za sheria. Inaonekana kama hakuna uhakiki wa kina katika kazi ya uandishi wa sheria kwenye ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria (CPD) wala hakuna tafiti za kujua sheria gani zinapaswa kurekebishwa, kufutwa au kutungwa pale Tume ya Kurekebisha Sheria (Law Reform Commission).

Zipo sheria nyingi kwenye vitambu vya Sheria hazipaswi kuwepo kutokana na kutotumika kwa muda mrefu na kupitwa na wakati. Zipo pia sheria zinazokinzana kwenye utendaji na nyingine zinapotosha kutokana na kuwepo kwenye Vitabu vya sheria wakati zilishafutwa. Mifano ya Sheria hizi ni kama Sheria ya Elimu ya Mwaka 1969 (Education Act) na Sheria ya Elimu ya Taifa ya Mwaka 1978 (The National Education Act). Japo ya 1969 ilifutwa na 1978, lakini ukienda kwenye tovuti nyeti ya Bunge unaikuta, kwa mtu ambaye hatafanya utafiti wa kina anaweza kupotoshwa.

Sheria nyingine ni hii ya Makampuni (Companies Act Cap. 212) ambayo ilifutwa kwa Sheria Mpya ya Mwaka 2002( Cap. 212 R.E,2002). Cha kushangaza ukienda kwenye Durusu la Sheria la mwaka 2002 (Juta) unazikuta sheria hizo zote mbili iliyofutwa na inayoendelea kwa Sura hiyo hiyo moja (Cap.212).

Zipo sheria ambazo hazikuwahi kutangazwa kutumika kupitia Gazeti la Serikali na Waziri wa Sekta husika lakini cha kusikitisha zimewahi kutumiwa mpaka na mahakama kuwatia hatiani watu. Yaaaaaaha, ni mengi kueleza kwa kweli!
 
Thank u BUCHANAN,clearance ya CJ ni ka interview kadogo wewe na yeye tu,wenyewe waliokwisha pita wanasema ni kama kutaka kukufahamu tu na mtu huwezi kufeli hiyo labda uwe bubu kabisa,ni procedure ndogo ambayo haikugharimu hata 10 minutes.

Nashukuru tena ndugu m-bongotz kwa majibu yako ambayo ni straight na yanayolenga kujibu swali! I hope kwamba utamtembelea CJ ili akuingize kwenye bar kama una nia ya kuwa Wakili!
 
Nashukuru tena ndugu m-bongotz kwa majibu yako ambayo ni straight na yanayolenga kujibu swali! I hope kwamba utamtembelea CJ ili akuingize kwenye bar kama una nia ya kuwa Wakili!

Yap kuna taarifa kuwa by mwezi march wote waliopetition kutokea law school watakuwa admitted ndiyo tunasubiria hilo kaka, nia ya uwakili ipo sana tu..Cheers
 
Yap kuna taarifa kuwa by mwezi march wote waliopetition kutokea law school watakuwa admitted ndiyo tunasubiria hilo kaka, nia ya uwakili ipo sana tu..Cheers

Ok, nakutakia kila la kheri ndugu. Kitu ambacho kinaniuma sana kwenye adminstration of justice ni mahakama zetu kugeuzwa na Mawakili na Mahakimu/Majaji kwa kushirikiana na washtakiwa au walalamikaji kuwa "Kangaroo Courts" kwa maana kwamba matokeo ya kesi huwa yanapatikana kabla ya kesi kwa kupenyeza vijisenti au upendeleo! Hiki kitu kimeharibu kwa kiasi kikubwa taaluma ya Sheria! Niliwahi kusoma kwenye mkokoteni mmoja kwamba "Sheria Duniani, Haki Mbinguni!" Nilitafakari sana juu ya kauli hii...Anyway, tuishie hapo, nikutakie kwa mara nyingine tena kila la kheri ndugu!
 
Learned Friends Tusome hii Articles halafu tujadili kuna wadau wanasema marekebisho ya sheria ya Law School Act hayajapelekwa bungeni bado !

Source: RAIA MWEMA

Kikwete awapa mafisadi ahueni

lC.gif
Mwandishi Wetu​

Septemba 2, 2009
rC.jpg

bul2.gif
Asaini marekebisho yaliyopitishwa na Bunge kimya kimya

( Hapa kuna nini hasa ? ) lugha za waandishi wa habari wakati mwingine hazieleweki kama Bunge limepitisha rais anamamkala ya kuweka signature yake ...sasa wao wanaposema kimya kimya maana yake nini ) Any watu tuyaacha hayo ya waandishi wa habari !

bul2.gif
Ufisadi sasa si uhujumu uchumi

bul2.gif
Kesi za ufisadi kuwa kiini macho?

RAIS Jakaya Kikwete amesaini kuridhia mabadiliko ya sheria zinazohusu rushwa na uhujumu uchumi, hatua ambayo wanaharakati wa vita dhidi ya ufisadi nchini wanaitafsiri kwamba ina lengo la kupunguza makali kesi za uhujumu uchumi na rushwa zinazowakabili baadhi ya vigogo nchini, RAIA MWEMA limeambiwa.

Katika hatua hiyo, inayoashiria kupunguza makali ya sheria zinazotumika kuendesha kesi za uhujumu uchumi na rushwa nchini, kesi ambazo baadhi zinaendelea kusikilizwa mahakamani zikiwahusisha waliowahi kuwa viongozi wa kitaifa, Rais Kikwete, Machi, mwaka huu, alisaini marekebisho hayo ya sheria yaliyopitishwa na Bunge katika kikao chake cha Januari mwaka huu.
Hatua hiyo inatokana na kuwasilishwa bungeni kwa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali, ndani yake kikiwamo kipengele kinachoingiza makosa ya rushwa katika Sheria namba 200 ya Uhujumu Uchumi ya mwaka 2002 (Economic and Organized Crime Act Cap 200 R.E. 2002).

Kwa kutia saini kwa Rais Kikwete kuridhia marekebisho hayo, rushwa sasa si kosa la kuhujumu uchumi.

Raia Mwema imefahamishwa kwamba mabadiliko hayo ya sheria yaliyopitishwa na Bunge Januari, yalisainiwa na Rais Jakaya Kikwete, Machi 12, mwaka huu na kutangazwa katika Gazeti la Serikali Machi 20, 2009. Habari kwamba Rais ameridhia marekebisho hayo kwa kutia saini zilifahamika hivi karibuni tu kwa wanaharakati wa vita dhidi ya ufisadi nchini. Uchunguzi wa Raia Mwema umebaini kwamba Mabadiliko hayo ya Sheria hiyo yamewashitua wadau mbalimbali wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi ambao wanasema wakati sheria hiyo inapitishwa walipata nafasi ya kuchangia maoni, hali ambayo haikujirudia wakati wa kuifanyia mabadiliko.

Mabadiliko hayo ya Sheria ndogo ndogo yaliwasilishwa bungeni yakiwa na marekebisho katika sheria mbalimbali 11 ikiwamo hiyo ya uhujumu uchumi na inawezekana kwamba wabunge wengi walikosa nafasi ya kupitia sheria zote zilizoguswa na mabadiliko hayo.
Sheria nyingine zilizounganishwa katika muswada huo ambao tayari umekuwa sheria ni pamoja na ya Administrator-General (Powers and Function) Act, ya Usajili wa Vizazi na Vifo, ya Chuo cha Sheria (Law School of Tanzania), Utumishi wa Umma, Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Afya, National Prosecution Service Act, Sheria ya Uchawi, Penal Code, Sheria ya Leseni za Usafirishaji na Sheria ya Ardhi.

Hapo ndipo nilitakatujadili kama kuna mabadiliko au la !
 
Mimi kwa kweli kwa ushauri ni kwamba ngoja tusubiri hao waliopetition tuone itakuwaje, lakini kimsingi hawa watu " Wizara husika" wanastahili kushitakiwa Mahakamani kwa kucheza na Maisha ya watu ambao ni wanasheria . Kimsingi wanasheria wanatakiwa kuwa Aggressive lakini kwetu huku naona hakuna Matata nobody cares what happens. Ni changamoto kwa Sekta hii ya Sheria kwa siku za mbeleni .

Ari yangu kwa Wahemishiwa Mawakili wanaopinga Law School ni moja tu, wangechallenge sheria wakati Mahakamani long ago kwa sorry to say it is too late because haitoweza tena kuwanyanganya watu award zao. After all a It will Unconstitutional for a change of this law now because it will create a burden to poeple " Kunyanganya watu achivements zao" thereofore it will not just work ni sawa na kutengeneze sheria which declares new offense and punishes (poeple) or names them offfenders even before such offences were officially declared.
 
Ndg Kibori kwenye post #27 umeelezea kwamba LST Act, 2007, imefanyiwa marekebisho. Kama utafanikiwa kupata marekebisho hayo naomba uyabandike hapa tuyajadili ili tujue kama Raiamwema wako sahihi au la. Na mimi nitafanya juhudi ya kuitafuta hiyo Sheria. Kuhusu makosa ya rushwa kutokuwa tena ya uhujumu uchumi sijaelewa significance au effect yake ni nini, yakibaki ya rushwa tu yanapunguza uzito gani? Tuelimishane please!
 
Learned Friends Tusome hii Articles halafu tujadili kuna wadau wanasema marekebisho ya sheria ya Law School Act hayajapelekwa bungeni bado !

Source: RAIA MWEMA

Kikwete awapa mafisadi ahueni

lC.gif
Mwandishi Wetu​

Septemba 2, 2009
rC.jpg

bul2.gif
Asaini marekebisho yaliyopitishwa na Bunge kimya kimya

( Hapa kuna nini hasa ? ) lugha za waandishi wa habari wakati mwingine hazieleweki kama Bunge limepitisha rais anamamkala ya kuweka signature yake ...sasa wao wanaposema kimya kimya maana yake nini ) Any watu tuyaacha hayo ya waandishi wa habari !

bul2.gif
Ufisadi sasa si uhujumu uchumi

bul2.gif
Kesi za ufisadi kuwa kiini macho?

RAIS Jakaya Kikwete amesaini kuridhia mabadiliko ya sheria zinazohusu rushwa na uhujumu uchumi, hatua ambayo wanaharakati wa vita dhidi ya ufisadi nchini wanaitafsiri kwamba ina lengo la kupunguza makali kesi za uhujumu uchumi na rushwa zinazowakabili baadhi ya vigogo nchini, RAIA MWEMA limeambiwa.

Katika hatua hiyo, inayoashiria kupunguza makali ya sheria zinazotumika kuendesha kesi za uhujumu uchumi na rushwa nchini, kesi ambazo baadhi zinaendelea kusikilizwa mahakamani zikiwahusisha waliowahi kuwa viongozi wa kitaifa, Rais Kikwete, Machi, mwaka huu, alisaini marekebisho hayo ya sheria yaliyopitishwa na Bunge katika kikao chake cha Januari mwaka huu.
Hatua hiyo inatokana na kuwasilishwa bungeni kwa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali, ndani yake kikiwamo kipengele kinachoingiza makosa ya rushwa katika Sheria namba 200 ya Uhujumu Uchumi ya mwaka 2002 (Economic and Organized Crime Act Cap 200 R.E. 2002).

Kwa kutia saini kwa Rais Kikwete kuridhia marekebisho hayo, rushwa sasa si kosa la kuhujumu uchumi.

Raia Mwema imefahamishwa kwamba mabadiliko hayo ya sheria yaliyopitishwa na Bunge Januari, yalisainiwa na Rais Jakaya Kikwete, Machi 12, mwaka huu na kutangazwa katika Gazeti la Serikali Machi 20, 2009. Habari kwamba Rais ameridhia marekebisho hayo kwa kutia saini zilifahamika hivi karibuni tu kwa wanaharakati wa vita dhidi ya ufisadi nchini. Uchunguzi wa Raia Mwema umebaini kwamba Mabadiliko hayo ya Sheria hiyo yamewashitua wadau mbalimbali wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi ambao wanasema wakati sheria hiyo inapitishwa walipata nafasi ya kuchangia maoni, hali ambayo haikujirudia wakati wa kuifanyia mabadiliko.

Mabadiliko hayo ya Sheria ndogo ndogo yaliwasilishwa bungeni yakiwa na marekebisho katika sheria mbalimbali 11 ikiwamo hiyo ya uhujumu uchumi na inawezekana kwamba wabunge wengi walikosa nafasi ya kupitia sheria zote zilizoguswa na mabadiliko hayo.
Sheria nyingine zilizounganishwa katika muswada huo ambao tayari umekuwa sheria ni pamoja na ya Administrator-General (Powers and Function) Act, ya Usajili wa Vizazi na Vifo, ya Chuo cha Sheria (Law School of Tanzania), Utumishi wa Umma, Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Afya, National Prosecution Service Act, Sheria ya Uchawi, Penal Code, Sheria ya Leseni za Usafirishaji na Sheria ya Ardhi.

Hapo ndipo nilitakatujadili kama kuna mabadiliko au la !

Totally mixed, sijui kama huyo mwandishi alikuwa anaelewa analoandika

  1. RAIS Jakaya Kikwete amesaini kuridhia mabadiliko ya sheria zinazohusu rushwa na uhujumu uchumi,:confused:
  2. mabadiliko hayo ya sheria yaliyopitishwa na Bunge Januari,(????) yalisainiwa na Rais Jakaya Kikwete, Machi 12, mwaka huu na kutangazwa katika Gazeti la Serikali Machi 20, 2009:confused: (for what???)
  3. Hatua hiyo inatokana na kuwasilishwa bungeni kwa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali, ndani yake kikiwamo kipengele kinachoingiza makosa ya rushwa katika Sheria namba 200 ya Uhujumu Uchumi ya mwaka 2002 (Economic and Organized Crime Act Cap 200 R.E. 2002):confused:. (Is it true citation??).
  4. Mabadiliko hayo ya Sheria ndogo ndogo yaliwasilishwa bungeni yakiwa na marekebisho katika sheria mbalimbali 11 ikiwamo hiyo ya uhujumu uchumi na inawezekana kwamba wabunge wengi walikosa nafasi ya kupitia sheria zote zilizoguswa na mabadiliko hayo (Sheria ndogo ndogo mean subsidiary legislation or???/, when the said Written Laws Miscellenous Amedments tabled to NA??) :confused:
Kudadadeki !, hakika hawa watu wanahitaji kujua taaluma wanayoandikia kabla ya kuandika
 
Totally mixed, sijui kama huyo mwandishi alikuwa anaelewa analoandika. Kudadadeki !, hakika hawa watu wanahitaji kujua taaluma wanayoandikia kabla ya kuandika

Hawa watu wasamehe bure ndugu yangu, waelewe hivyo hivyo. Tafuta Sheria husika ili tuiweze kuijadili hapa. Hayo mambo ya citation na accuracy ya maelezo achana nayo!
 
The Law School of Tanzania Act, 2007, No. 18 of 2007 imefanyiwa marekebisho (amendments) na The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2009, No. 3 of 2009 kama ifuatavyo:
1. Kifungu cha 15 (Amendments in red:)
(1) There shall hereby established a Governing Board of the School which shall consist of-
(a) the Deputy Attorney General who shall be the Chairman;
(b) (deleted: the Principal Judge) (Added: The Registrar of Court of Appeal)
(c) The President of Tanganyika Law Society;
(d) The Dean of Faculty of Law of the University of Dar es Salaam;
(e) one member representing Tanganyika Law Society; and
(f) one member representing Legal Aid Schemes.
[added (g) one member representing students.]
(2) The Principal shall be the Secretary of the Governing Board.
(3) Members of the Governing Board referred to in paragraphs (e) and (f) of subsection (1) shall be appointed by the Minister.
(4) The Schedule to this Act, shall have effect as to the tenure of office, termination of their appointments, proceedings of the Governing Board and other matters in relation to the Governing Board and its members.

2. Kwa upande wa Kifungu cha 22 (1) cha Sheria Na. 18/2007 marekebisho yaliyofanywa hayaeleweki! Kifungu chenyewe kinasomeka kama ifuatavyo: In this Act "financial year" means any period not exceeding twelve consecutive months designated in that behalf by the Governing Board.
Sheria Na. 3, 2009 iliyofanya marekebisho hayo inasomeka kama ifuatavyo: Section 22 of the Principal Act is amended in subsection (1) by inserting the phrase "by notice in the Gazette" between the words "may" and "appoint." Sasa hayo maneno "may" na "appoint" hayanonekani kwenye kifungu cha 22 (1)! It simply means that section 22 (1) was not amended!

Hayo ndio marekebisho pekee katika Sheria Na. 18/2007 niliyofanikiwa kuyapata. Kwa maoni yangu marekebisho haya sio significant sana na yanayolenga kuondoa ambiguities ambazo ziko ndani ya Sheria husika kama tulivyoanza kujadili tangu mwanzo wa thread hii!
 
(c) The President of Tanganyika Law Society;
(d) The Dean of Faculty of Law of the University of Dar es Salaam(WHY UDSM???);
(e) one member representing Tanganyika Law Society; and
(f) one member representing Legal Aid Schemes (WHICH ONE???)
[added (g) one member representing students.] (WHICH ONE???)
(2) The Principal shall be the Secretary of the Governing Board.
(3) Members of the Governing Board referred to in paragraphs (e) and (f) of subsection (1) shall be appointed by the Minister.
(4) The Schedule to this Act, shall have effect as to the tenure of office, termination of their appointments, proceedings of the Governing Board and other matters in relation to the Governing Board and its
 
Wajumbe (e) na (f) watateuliwa na Waziri mhusika lakini huyo mwanafunzi (g) haijulikani atapatikanaje. Kwa upande wa UDSM haijulikani ni kwa nini Dean awe mwanachama wa Governing Board badala ya Dean wa Mzumbe, Tumaini, etc. Hata hivyo ukianza kujiuliza WHY mara kwa mara utafikia kujiuliza WHY President of Tanganyika Law Society, WHY Principal Judge katolewa na kuwekwa Registrar of Court of Appeal, WHY Deputy Attorney General awe Chairman wa Governing Board badala ya Attorney General mwenyewe, or somebody else? WHY, WHY, WHY, WHY....Finally WHY THE LAW SCHOOL ITSELF!
 
Nimefurahishwa sana na juhudi zenu za kuchimbua mambo wadau,mabadiliko ya hiyo sheria ambayo naamnini yanasubiriwa kwa hamu bado kabisa hayajafanyika, ndio maana kwenye post yangu ya awali nilisema mswada umeandaliwa lakini bado haujaenda bungeni, nilipata nafasi ya kuongea na mmoja kati ya viongozi wa TLS akasema kuwa walikuwa wameazimia ku-initiate hiyo amendment ambayo kimsingi isingeifanya tena law skul kuwa compulsory kwa kila LLB holder na badala yake iwe ni kwa wale wanaoutaka uwakili tu.,sasa hilo sijui litatekelezwa lini na mnajua tena siasa za nchi hii..
 
Wajumbe (e) na (f) watateuliwa na Waziri mhusika lakini huyo mwanafunzi (g) haijulikani atapatikanaje. Kwa upande wa UDSM haijulikani ni kwa nini Dean awe mwanachama wa Governing Board badala ya Dean wa Mzumbe, Tumaini, etc. Hata hivyo ukianza kujiuliza WHY mara kwa mara utafikia kujiuliza WHY President of Tanganyika Law Society, WHY Principal Judge katolewa na kuwekwa Registrar of Court of Appeal, WHY Deputy Attorney General awe Chairman wa Governing Board badala ya Attorney General mwenyewe, or somebody else? WHY, WHY, WHY, WHY....Finally WHY THE LAW SCHOOL ITSELF!

Kwanza hii inafurahishwa jinsi vijana wanavyokata issues kweli kweli . Mimi kuhusu hayo mabadiliko, kuteuliwa mwanafunzi na Dean Faculty of Law UDSM, nichangie kama ifuatavyo japo machache !

1. Mwanafunzi kuwepo kwenye BOARD- SIO GENI , hii ilikuwepo hata sheria ile ya KWANZA please re-read again between the line BUT what is scaring is the fact that the BOARD since its establishment pamoja na mikutano yake yote HAKUNA mwanafunzi ambaye ameshahudhuria kwenye kikao hata MOJA .... This was a serious violation of the law, and it suffice to say all the decisions made thereof are invalid or null and void if you like . WHY ?

BECAUSE the law was violated as simple as that ... I am not saying about CORUM here . A DECISION is outright invalid if made and the BOARD is incomptent if a member is missing because has not been nominated ... I am not saying he/she or was away, or sick or unable to attend the meeting. I am saying if a provision of the law states that a BOARD SHALL be composed of say 6 MEMBERS and ONLY 3 are appointed, it is an incomptent BOARD, so the decision MADE thereof.

ONCE A MEMBER IS APPOINTED OR NOMINATED (ANY HOW) it is NOT A MANDATORY for a member to attend a MEETING , could be say SICK or AWAY at the time and the meetings goes on and may make decisions unless a questions of CUROM arises, A DECISION WILL BE IS VALID, if CORUM issue arises it is another issue. This is not what I am trying to explain. Mwanafunzi hajawaki kuchaguliwa therefore THE BOARD IS INCOMPETENT (kama sheria inavyosema ), AND SO THE DECISIONS MADE THEREOF.

2. Kuhusu Dean USDM kwanza kabisa there is NO any valid reasoning ni MAMBO YA CUT AND PASTE Sheria nyingi zimekuwa zikiandika hivyo hata The Advocates Act, please read, section decribing the composition of the CLE

In the previous law " The Law School Act Rules/ Subsidiary legislation, the position was changed and it read" A Dean from Faculty of Law from any University" Please note that my quotation should not any way be read to mean I have taken as it is from the Act but something of that kind, I have just shown my emphasis that there was that change.

If in the allegedly Amendment has repeated a mistaken " Dean Faculty of Law UDSM then ujue ni CUT AND PASTE BUSINESS" - Ndugu Buchanan you know should what I mean, in your contribution you said a certain law was copied and it contained the word KENYA .... It is shame kama tuna PASTE Mpaka jina la Nchi ....

I once wanted to read the Law School of Tanzania Act, thinking that nitawezatu kukuta somewhere a word either " Republic of Kenya au Uganda au Nigeria au South Africa and UK . Unfortunately I did not get time to read, even though sijui hata ni ipi ningesoma because kwajinsi wachangiaji mbalimbali walivyochangia ni Dhahiri kuna sheria za Law School zaidi ya MOJA . Mfano Act N0.5 2007, Act N0.18 2007 etc ..... kazi kweli !

KUMRADHI KWA KUTUMIA MFANO HUU :

I am more that sure that the whole Act was copied that is why many things are not proper until now, wamepaste bila kuangalia ukweli kwamba labda nikitumia lugha ya CCM ( NIMEOMBA RADHI) unaweza kusema ni kama vile " HAITEKELEZEKI" WHY ? VIKWAZO NI VINGI

CCM huwa kuna kamati ya MAALUM huo inatengeneza ILANI YA UCHAGUZI then Mgombea URAIS anakabidhia tu baada ya kushinda KURA ZA MAONI ndio maana wakishaingia Madarakani wanasema haitelelezeki PLEASE DO NOT GET ME WRONG< I AM NOT POLITICIZING BUT my point is, hawa jamaa wanashindwa kutekeleza sheria kwa sababu wame CUT AND PASTE ... HAWAJATENGENEZA WAO - SIWATETEI HAPA

Labda ni ulize kama hawakufanya hivyo kwanini haya matatizo tena madogo na ya kiufundi yametokea wapi ! Mawakili wanalalamika, wakati ndio wadau wakubwa ni dhahiri kwamba hii sheria ina WALAKINI MWINGI !

THIS IS ONLY MEANT TO PROVOKE A DISCUSSION AND NOTHING ELSE !

KARIBUNI TUJADILI KWA AFYA ZETU !!

REGARDS !
 
In the previous law " The Law School Act Rules/ Subsidiary legislation, the position was changed and it read" A Dean from Faculty of Law from any University" Please note that my quotation should not any way be read to mean I have taken as it is from the Act but something of that kind, I have just shown my emphasis that there was that change.

Ndugu Kibori tunapozungumzia mambo ya kisheria usiwe too general ndugu yangu. Unapozungumzia "The Law School Act Rules/ Subsidiary legislation" bila kutaja ni Rules/Subsidiary Legislations zipi unakaribisha maswali ambayo ni unnecessary! Be specific please, maana so far Law School of Tanzania Act, 2007 ina Subsidiary Legislations zifuatazo:
1. The Law School of Tanzania (Staff Appointment Promotion and Welfare) By - Laws, 2008. (GN No. 57 of 2008).
2. The Law School of Tanzania (Students' Performance Assessment and Award) By - Laws, 2008. (GN. No. 56 of 2008).
3. The Law School of Tanzania (Curriculum) By - Laws, 2008. (GN. No. 55 of 2008).

So, tell us which is which.
 
Learned bros hii Sheria (The Law Shool of Tanzania Act, 2007) bado inanichanganya maana kwenye By - Laws nilizozitaja kwenye Post #39 hapo juu zimeandikwa kama ziko chini ya The Law School of Tanzania Act, 2007, No. 5 of 2007! Kwenye attachment ya Sheria hiyo niliyoiwena pamoja na post hii inaonyesha kuwa ni Sheria Na. 18 ya mwaka 2007!. Nafikiri mmojawetu alishalidokeza hilo kwenye posts za mwanzo. Nakuwa hata na kigugumizi cha kui-cite Sheria hii.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom