Wanafunzi wa mwalimu Nyerere watishiwa maisha Zanzibar

mi nashangaa mbona hawalikatai jina la nchi yao Zanzibar ambalo lina bar ndani yake.....hao hao wanakataa udhamini wa makampuni ya pombe kwenye soka Zanzibar wakati ni mashabiki wa Liverpool ambayo kwa miaka mingi ilidhaminiwa na pombe ya Carlsberg. Nimeishi sana Zenji...nauona sana ukahaba wa wasichana wa kizanzibari. Vijana wa kizanzibari hujianika kule Nungwi, Kiwengwa, Bwejuu, Kizimkazi na kwingineko kuvizia mabinti wa kizungu. Tazama mjini Zanzibar magari ya vijana yote yana vioo tinted ambamo hufanyia ufuska humo. Tazama mikutano ya kampeni ambayo watu husombwa na maroli kutoka eneo moja hadi jingine, mwisho wa mikutano hiyo huambatana na vitendo vya kifuska. Hiyo ndiyo Zenji ambayo watu wanajifanya wasafi kumbe nao ni mabazazi tu. Tuache unafiki tufanye maendeleo.
 
Back
Top Bottom