Wanafunzi VIZIWI wapeana mimba

Wanafunzi VIZIWI wapeana mimba

Binafsi sijaona tatizo kutilia mkazo hali yao ya ulemavu wa kusikia. Ina maana kuwa, hawa watoto walikosa namna ya kushauriwa juu ya athari za vitendo hivyo. Ndio maana hata tume ya mawasiliano imependekeza kwenye TV kuwe na mtafsiri wa lugha ya alama.

Kosa lao ni kupeana ujauzito katika umri mdogo. Lakini hili limechangiwa na jamii kwa kutotilia maanani kuwafundisha watoto madhara ya tendo hilo, kwani wanapobalehe wanankuwa na joto la ziada.

Hali kama hii nimewahi kusikia kuwa kwenye baadhi ya shule za msingi za bweni, vijana wanaobalehe huwa na tabia za kufanya mapenzi wao kwa wao. Ni vyema sisi kama wazazi au walezi kujua na kuwaelekeza vijana wetu juu ya mabadiliko ya miili yao. Sio kukaa pembeni na kuja kuwalaumu mambo yakisha haribika.
 
Hawa watoto viziwa sijui waliongeaje mpaka wakakubaliana na pia umri walio nao unaonekana ni mdogo sana! Na vipi kuhusu nidhamu na maadili ndani ya shule? Kuna ufuatiliaji wa kutosha? Au tu ndo tuishie kushangaa na kulaumu hao watoto?

wanawasiliana vzur 2! Kwa ku2mia sign language, gestures, speach reading & finger alphabet. Ndo watoto wa dot com 13/14
 
Wanafunzi wa shule ya msingi ya viziwi ya Kigwe wamejikuta wakipeana ujauzito baada ya kunogeshana mahaba na mashamsham, wanafunzi hao ambao wanasoma shule hiyo iliyopo wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, wakiume ana umri wa miaka 14 na wa kike ana umri wa miaka 13:
sosi:habari leo

Ungesema wanafunzi vipofu ingeeleweka, lakini hii ya viziwi wakati wacho yao yanaona kila kitu hakuna la kushangaza.
 
Hivi kumbe watoto siku wa kiume siku hizi miaka 14 tu tayari ni vidume vya mbegu? Hii noma aisee.
 
Hivi kingeharibika kitu gani iwapo angetumia neno, "wanafunzi wenye umri fulani wametiana mimba", bila kutaja dosari za kimaumbile walizo nazo?

Ndo uandishi wa habari wa cku hizi. Waandish hawaumizi vichwa kubuni tittle za habari zao.
 
shida yake naona haamini kama viziwi pia wanapataga hamu, ndio maana amekandamiza neno viziwi....kama shida yake ingekuwa umri, asingetaja neno viziwi. tunatakiwa kujua kuwa, walemavu nao wanakula chakula, wana hormons na miili yao ina mahitaji kama ya watu wengine tu. tusione ajabu sana, kwani watoto wasio viziwi wangapi wanapeana mimba ? kwasababu wao ni viziwi ndo uone ajabu?
 
Heading yako umecapitalize on then being VIZIWI na wala sio umri wao.

People coming to ur rescue sio hakibadilishi insensitiveness yako kwa disabled!

ndo nilivoikuta hapo kwenye habar leo
 
Hivi kingeharibika kitu gani iwapo angetumia neno, "wanafunzi wenye umri fulani wametiana mimba", bila kutaja dosari za kimaumbile walizo nazo?

yale yale wamefariki watu watatu(3) na mmasai mmoja(1)
 
Back
Top Bottom