We ndo Si Mzima InaonekanaWatanzania wanne mmoja si mzima...utafiti
FREEDOM IS NOT FREE!! Pia sina imani na signature yako!!!
Ningekua naweza kuwapata hao watanzania watatu hapo chini..ningewaleta hapa JF watoe ushuhuda
Saint Ivuga hapana siyo hivyo. Sema nadhani waziri husika alikurupuka kuropoka hiyo kauli. Rais anafahamu umihimu wa hawa wasomi, sidhani kama hali itafikia huko.Na hiki ndio anakitaka mheshimiwa ili awafukuze hadi 2019..
Ile kichwa ina roho mbaya sana
Ndugu yangu labda rais humjui vizuri.. Hii ni kauli ya rais mwenyewe alipoenda udsm mapema mwaka huuSaint Ivuga hapana siyo hivyo. Sema nadhani waziri husika alikurupuka kuropoka hiyo kauli. Rais anafahamu umihimu wa hawa wasomi, sidhani kama hali itafikia huko.
kijana Ugome kwani umeambiwa kupata mkopo ni lazima?? Unajua sheria za HESLB..??Nawashauri wadogo zangu wanaotarajia kuingia chuo msisite kuleta mgomo ikiwezekana kuvunja amani ikitokea hamkupewa haki yenu ya mkopo
Msikubali kuwa wanyonge kuona haki yenu haitendeki
Kamwe msirudi nyuma kama mbwai iwe mbwai tu mpaka kieleweke
Inatia uchungu sana kila nikiona thread zenu mkilalamika kuhusu mambo ya mikopo ,msikubali kurudi nyuma lianzisheni na sisi kaka zenu tupo nyuma yenu kuhakikisha mnapata haki yenu
Acheni nidhamu ya uoga wamelikoroga wenyewe lazima walinywe
Na atawafukuza kweli,najiuliza hivi usalama wataifa hawana uwezo wa kuchunguza uraia wa bosi wao?.Ndugu yangu labda rais humjui vizuri.. Hii ni kauli ya rais mwenyewe alipoenda udsm mapema mwaka huu
Mkopo sio lazima lakini ukishakopeshwa lazima sheria mlizojiwekea zifuatwe.Acha upumbavu kijana... Ugome kwani umeambiwa kupata mkopo ni lazima?? Unajua sheria za HESLB..?? ******** mkubwa wewe..
Na nakuomba uondoe hiyo thread yako..
Saint Ivuga nimekumbuka kweli.Ndugu yangu labda rais humjui vizuri.. Hii ni kauli ya rais mwenyewe alipoenda udsm mapema mwaka huu
Tukubaliane na ukweli tu kua mgomo sio kitu sahihi especially kwa baba jeeeesca mana yupo mote na hashaurikiFREEDOM IS NOT FREE!! Pia sina imani na signature yako!!!
Unaongea nini?? Nani kakopeshwa afu akaondolewa mkopo wake bila ya kosa lolote.. Nyie ndo huwa tunawataga..Mkopo sio lazima lakini ukishakopeshwa lazima sheria mlizojiwekea zifuatwe.
Na wewe lioga utaonewa sana .Wewe lichochezi lazima ukamatwe
Siwezi kuandamana kwa sababu mimi nishamaliza kitambo kusoma ila nawaonea huruma kila siku thread za mambo ya mikopo mkilalamika kwa hiyo ushauri wangu ndio ukawa huoKaandamane ukione
Wale wa jkt waanzeNawashauri wadogo zangu wanaotarajia kuingia chuo msisite kuleta mgomo ikiwezekana kuvunja amani ikitokea hamkupewa haki yenu ya mkopo
Msikubali kuwa wanyonge kuona haki yenu haitendeki
Kamwe msirudi nyuma kama mbwai iwe mbwai tu mpaka kieleweke
Inatia uchungu sana kila nikiona thread zenu mkilalamika kuhusu mambo ya mikopo ,msikubali kurudi nyuma lianzisheni na sisi kaka zenu tupo nyuma yenu kuhakikisha mnapata haki yenu
Acheni nidhamu ya uoga wamelikoroga wenyewe lazima walinywe
Na hiki ndio anakitaka mheshimiwa ili awafukuze hadi 2019..
Ile kichwa ina roho mbaya sana