Wanafunzi unganeni Tanzania nzima mfanye mgomo

MKUU NIMEZUNGUMZIA MKOPO,KUANDAMANA SI HOJA NLOZUNGUMZIA,BY THE WAY HATA UKIANDAMANA NA UKASABABISHA MATATIZO KWA WENGINE UTAWAJIBIKA HEBU SOMA KATIBA VIZURI HAKI YAKO INAPASWA ISIMUATHIRI MWINGINE,PIA LOGIC YA MAANDAMABO NI KUSHINIKIZA SASA KM ANAESHINIKIZWA ANAJIFANYA HASIKII?
Maandamano ni haki ya msingi ya kikatiba, haijalishi nani anakataza kuandamana au anatoa vitisho gani. Raia wanafuata kile kilicho kwenye katiba na ndiyo sheria siyo vinginevyo.
Kama huyu kasema hivi atakuja mwingine atasema wanaume wote marufuku kuvaa suruali, hapo mtakubaliana naye?
 
Unaposema huyu tuliyenae siyo yule tulomzoea hapa unataka kutisha tisha watu wawe waoga na wasiandamane. Maandamano ni haki ya kikatiba kama haskii shauri yake lakini kwa kuandamana ujumbe unakuwa umeshatumwa kwake na akiendelea kushupaza shingo maandamano pale inatakiwa yasikome.
conservative3
 
SIO KUTISHA KWANI HUYU NA YULE WAKO SAWA?YULE ANATUMIA BUSARA HUYU ANATUMIA SHERIA KWENYE SEHEMU KUBWA YA MAAMUZI,YULE HANA HASIRA HUYU NDO VILE,YULE MPOLE HUYU.....,MWISHO YULE NI MJOMBA HUYU NI SIZONJE
 
Unafikiri ni kazi rahisi eeh? Anza kuandamana wewe kwanza basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom