Wanafunzi unganeni Tanzania nzima mfanye mgomo

Mko nyuma yao ili wachezee wao...kueni mbele yao wao wawaunge huo mgomo

rap beast
 
Nawashauri wadogo zangu wanaotarajia kuingia chuo msisite kuleta mgomo ikiwezekana kuvunja amani ikitokea hamkupewa haki yenu ya mkopo

Msikubali kuwa wanyonge kuona haki yenu haitendeki
Kamwe msirudi nyuma kama mbwai iwe mbwai tu mpaka kieleweke

Inatia uchungu sana kila nikiona thread zenu mkilalamika kuhusu mambo ya mikopo ,msikubali kurudi nyuma lianzisheni na sisi kaka zenu tupo nyuma yenu kuhakikisha mnapata haki yenu

Acheni nidhamu ya uoga wamelikoroga wenyewe lazima walinywe
Tapeli ww badala ya kusema "kaka yenu nipo nyuma yenu" unasema "kaka zenu tupo nyuma yenu" kana kwamba mpo wengi.

Ulitakiwa useme "mimi kaka yenu nitakuwa mbele yenu " halafu tukuone ulivyo jasiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ni wa mwaka jana lakini hata mwaka huu utaendelea kuwa valid vile vilio vya mikopo tutaendelea kuviskia tena kwa mwaka huu.
 
Nawashauri wadogo zangu wanaotarajia kuingia chuo msisite kuleta mgomo ikiwezekana kuvunja amani ikitokea hamkupewa haki yenu ya mkopo

Msikubali kuwa wanyonge kuona haki yenu haitendeki
Kamwe msirudi nyuma kama mbwai iwe mbwai tu mpaka kieleweke

Inatia uchungu sana kila nikiona thread zenu mkilalamika kuhusu mambo ya mikopo ,msikubali kurudi nyuma lianzisheni na sisi kaka zenu tupo nyuma yenu kuhakikisha mnapata haki yenu

Acheni nidhamu ya uoga wamelikoroga wenyewe lazima walinywe
MKUU SHERIA IPI INASEMA MKOPO NI HAKI YAKO?UNAPOOMBA MKOPO KUNA KUPATA NA KUKOSA,NA UNAINGIA MKATABA NA BODI SIO WIZARA.WASHAURI WENZIO VIZURI ILI IYO PRIVELEJI WAITUMIE VEMA HUYU TULIE NAE SIO YULE TULIYEMZOEA
 
Maandamano ni haki ya msingi ya kikatiba, haijalishi nani anakataza kuandamana au anatoa vitisho gani. Raia wanafuata kile kilicho kwenye katiba na ndiyo sheria siyo vinginevyo.
Kama huyu kasema hivi atakuja mwingine atasema wanaume wote marufuku kuvaa suruali, hapo mtakubaliana naye?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom