Wanafunzi UDSM kutumika kwenye maadanamano haramu?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
kama kawa. wamemaliza mitihani. wamefulia. hawana bumu. sasa wanawindwa. wapewe pesa kidg. watumike kwenye maadamanaio haram. wengi wao wamekwama hawana naul wapo tu kwenye magorofa ya chuo.
 
mkuu nipe dokezo la mabango watakayobeba...like 'sisi ni ccm daima' or " dowans iwashwe" or " kikwete rais bora TZ" or" bajaji kwa wajawazito -asante jk kwa kutimiza ahadi"
endelezeni........................... Jamaa wapo hata hapa JF watafanyia kazi mabango yao
 
Sofia Simba aliwataka wanawake wasishiriki kwenye maandamano ya chadema maana wana kazi nyingi, vipi ya ccm wanawake watashiriki?
 
Back
Top Bottom