Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Point sana hii.
Ni sawa Na mwizi akona mwizi mwenzie anapigwa mawe naye anasaidia..
Hao wanaozomea wanafunzi wa Jangwani Si wengine hata kuonja la 7 hawajawai.
 
Aiseeeee!
 
Kufeli mitihani ni matokeo kama matokeo mengine. Watanzania ni watu wa ajabu sana mbona sisikii mkiwahoji walioshika namBa 1 walitumia njia gani ili walioanguka wajifunze kwao?
 
Wanaowapa lift wakemewe
 
Wanaathirika sana.Na kumbuka wengi wanaozomewa ni O level Na wanafanya vizuri sana Kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…