Wanafunzi hawa waliopata zero wanaenda wap?

Hawa badae ndio matajiri wanajifunza biashara na ujasiliamali ukija una madgrii yako kutafuta kazi anakuajili anakulipa mshahara
Naam; Hilo linawezekana kabisa. Kuwa na madigrii sio pass port ya mafanikio ijapokuwa inaweza kuchangia.
 
Hawa badae ndio matajiri wanajifunza biashara na ujasiliamali ukija una madgrii yako kutafuta kazi anakuajili anakulipa mshahara
Wajinga kama nyinyi mnaotetea ujinga muuwawe. Unadhani biashara na skills zake ni matako kila mtu anayo?! Amka we kilaza... au ulifeligi shule ndo unajitafutia sympathy mtandaoni kujipa moyo na kuona ulichokifanya sio burden maishani mwako?! Acha kuwajaza ujinga hao bodaboda wa baadae 😏
 
Mmhh! Mkuu Usiwe na makasiriko kiasi hicho kwamba unahukumu wauawe. Yan kwako ww, mtu kuuawa ni kitu kirahisi-rahisi tu. Halafu naona unazo points muhimu lakini kwa kukasirika kwako umeishia kumtukana mwenzio na hoja yako umeshindwa kuiwasilisha na imepotea. Kuwa mtulivu tu unapojibu hoja ya mtu hutapungukiwa na kitu.
 
Hawa badae ndio matajiri wanajifunza biashara na ujasiliamali ukija una madgrii yako kutafuta kazi anakuajili anakulipa mshahara
Hizi akili za siafu zimewacost wengi ulisikia wapi kila anayefeli shule atafanikiwa maishani 😂😂😂😂😂😂😂😂. Daaah haya bwana kaa hivyo hivyo utacheka na roho yako mkuuu
 
Kuna watu ni wa pumbavu sijawahi kuona aseee kutwa kukariri maisha eti all school failures make it in life ujinga na upumbavu unaua sana taifa hili asee
 
Akhu sina makosa mie,waaalimu hao wanasababisha ongezeko la boda boda😂😂😂😂
Kumbe ligi la boda boda na walimu lilianza kitambo sana 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Daah walimu wanazingua sana..
 
Kuna watu ni wa pumbavu sijawahi kuona aseee kutwa kukariri maisha eti all school failures make it in life ujinga na upumbavu unaua sana taifa hili asee
Inasikitisha 😔... aliyefanya vizuri anazongwa na kupigwa mawe mapema. Aliyefeli anapewa utajiri wa maneno/kauli mapema 😅🙌🏾
 
Acha kujidanganya na kudanganya umma! Kuna impact mbaya ukifeli shule. Utajiri na biashara hazitolewi hovyohovyo tu kwa mali kauli namna hiyo.

Watch your steps
 
Una miaka mingapi mkuu unaonekana wewe bado mtoto, waliofaulu shule wote wamefanikiwa maishani? Usikariri
 
Una miaka mingapi mkuu unaonekana wewe bado mtoto, waliofaulu shule wote wamefanikiwa maishani? Usikariri
Nibatize wewe miaka kijana wangu 😊

Kuna tofauti kubwa sana hata ukikaa na kuzungumza na aliyekwenda shule na ikamuingia kisawasawa na ukakaa kuongea na kilaza tena wa namna yako.

Na sijasema kwamba ukienda shule ndo utafanikiwa, na usipoenda hutafanikiwa. Tuliza mabange yako mdogo wangu. Unajua kwamba gateway ya kuingia rasmi kwenye mifumo formal ya kila kitu nchini ni cheti cha form-four?! Unalijua hilo...?!
 
Kupata zero maana yake yeye ameshindwa kukariri vitu ya darasani na sio kuelewa, kwa sababu bata hao wa Div 1 ukimuweka leo mtaani hawezi ishi kabisa
kweli ni kukariri kwa sababu baada kumaliza mtihani ukimuuliza hajui tena alichosoma alafu application yake katika maisha nu ndogo
 
good
 
kuna jamaa mmoja anamiliki shule ya private yeye aliishia la nne na ameajiri watu wa MA cha kushangaza akibweka tu watu na masters zao wanatetemeka balaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…