Dashdown
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 402
- 437
Wanafunzi takribani 67 wameteseka kwa kukosa mkopo muhula huu mpaka sasa wakipigwa dana dana za hapa na pale kutoka kwenye uongozi wa chuo na bodi ya mkopo kutokana na janga hilo imewalazimu kutoa hela zao mfukoni kwa ajili ya kufanya utafiti(Project research) na wale wasioweza kutoa mpaka sasa hawajui hatima yao ni nn# Naomba wahisika msaidie kwa hili vijana wahitimu vyema