Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Jaman,penye ukweli tukiri 2.ni kweli kuna pindi la accounting huwa linapigwa mitaa ya changanyikeni,na hii imetokana na tabia ya malecture wa hapa ud kufundisha harakaharaka pasipo kujali kama watu wameelewa au laah na at the same time wanatutishia eti lazima mwaka huu wadake watu idadi ya shato 10 za mabibo na 7 za cumpus,so wanafunz wanaona best option ya kutokukamatwa ni kwenda kupigishwa mapindi huko mitaani.