Wanafundishika kumbe

Ila hawana mwenyewe na hawabanduki kino
 
Kwan wamefundishwa hao au wamejifundisha wenyew kupta hapo?
 
Wako huku mabatini wanaishi kwenye mashine ya mpare mmoja
Wakifunguliwa tu wanakimbia mpaka kwenye zebra wanasubiri wanavuka kwenda maeneo ya
LINEPOLICE kwenda kuchunga
jioni mtindo mmoja wakibanwa sana wanaangalia walipo watu wengi wanaotaka kuvuka na wenyewe wanaliunga
 
.....kwenye mashine ya mpare mmoja...![emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Ni mashine ya kusaga nafaka ni ya mpare maeneo ya kituo cha daladala zinazotoka Igoma kwenda mjini wale mbuzi wana akili kama binadamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…