sammyluv
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 930
- 6,156
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanasikilizia mwichi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanasikilizia mwichi
Yeah ila hatufumbi machoUkifika mwisho lazima ulegeze
Mkuu usicheke[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sitii neno mfungo umenibanaUtamu Daby utamu!!!!
Haha vyeo vingine vya ulaji uvikubali tuHivi vyeo vingine Daby niva kikolomijee etih!
Ni kweli.Ni kwa sababu huwa wanazivuta hisia.
Huwezi kuvuta hisia huku umekodoa macho.
Halafu nani anakuficha wewe....?Taraatibu mkuu hizo siri za ndani haswaaaa
Utamu kitu kingine unaweza kukuzidi hadi ukamfumba macho yeye sasa[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]