Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 8,290
- 8,512
Una uhakika na unachosema?Magoli yalofungwa jana tena kwa mara nyingine yamekua na utata..
Goli la kwanza kipa ameuangalia mpira ukitambaa mbele yake taratibu pasipo jishughulisha kuudaka,hadi unamfikia mfungaji anafunga kirahisi,a
Sasa shida ya Simba hapo nini ikiwa kipa alipenda rangi ya mpira ikimulikwa na mataa ya Lupaso🤣. Ulitaka mfungaji amhurumie kwa kuwa kipa atakuwa na la kujibu. Acha hizo wewe jamaa...
anyway pengine ni mambo ya mlungula hatujui..tumeona hata wachambuzi half time wameongelea hili na w
Sasa ndugu ikiwa haujui unalalamika nini sasa, au ni mazoea yenu kulalama. Shindeni mechi zenu zote hakuna anaewazuia kutwaa ubingwa hata ikiwa Simba watahonga TFF yote na CAS 🤣🤣🤣. CAS ya Morrisson.
Hii yote ni presha tu. Mechi zinafuata pendekezeni Manara awe Mwamuzi wa kati maana toka kipindi cha CAF CC mnalalamika tu. Kwa hiyo watu watatu waotee mwamuzi aweke kati. Kweli mashabiki wa Yanga ni ng'ombe wa Mayele 🤣🤣🤣🍟.Goli la pili ni clear offside.
Kibendera anapotezea na refa anaonyesha kati.wachezaji watatu wapo peke yao..
Kwa hiyo wakiingia ndani ya 18 ni goli? Ulitaka refarii awaongezee muda wake wakati muda wa mchezo kipindi cha kwanza umeisha. Huu sasa ndio uchawi wenyewe.Mwamuzi wa kati anapuliza kipenga cha kwenda mapumziko wakati wachezaji wakiwa kwenye move wakiumiliki mpira wakishambulia na wakikaribia kuingia ndani ya box..
Pelekeni malalamiko CAS kwamba timu zinamiliki mpira halafu hazishindi kila zikikutana na mnyama mkali Simba.mechi karibu ya tatu sasa tunaona timu wanazocheza nazo zikimiliki mpira vizuri kwa kipindi kirefu ila ati wao ndio wanaibuka washindi
Ikiwa mnajua haya yote yanawezekana na yanafanyika. Basi fanyeni. Hapa shida kubwa ni Mayele hajatetema muda mrefu basi Utopolo wote mmechanganyikiwa. Shindeni tu mechi zenu zote mtatwaa ubingwa hata kama Simba wataroga viwanja vyote na kuhonga waamuzi wote.1)Ulozi
2)kutumia Pesa either kwa waamuzi au Wachezaji wa timu pinzani
3)Msaada toka kwa baadhi ya waamuzi ili tu washinde mchezo husika.
Acheni malalamiko chezeni mpira. Sasa hivi tofauti ni point 8. Vipi kama ingekuwa 1 au ninyi mnafukuzia kwa gap kubwa hivyo si mngezimia wote🤣😄