wadzelino
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 205
- 316
Saiv naona wanaingia na slogan ya "Mayele daima mbele, Yanga na Mwiko nyuma"GSM Kasema Ikifungwa Utopolo Anaiacha Kabisa
Dodoma Jiji Nao Wanachukua Points 3 Kwa Yanga

Wewe at least umeongea jambo la msingi,reality hasa.bilashaka mkuu huenda haujui nini maana ya football
kama ungelijua nini maana ya football usingeandika huu uzi
hivi kuna timu yeyote ambayo haina benchi la ufundi?
nini tafsir ya benchi la ufundi? kimsingi ni lazima utambue ya kwamba mpira hauchezwi ndani ya uwanja pekee
mpira ubachezwa ndani ya uwanja na nje pia, hata hiyo timu yako inafanya hayo mambo unayoyazungumzia sema tu ulozi umezidiana
kikubwa inatakiwa kamati ya ufundi ya timu yako ijitathmini wapi inapokosea ili iweze kujipanga upya
mpira unachezwa na waganga, timu pinzani kwa maana ya wachezaji na viongozi pia unachezwa na waamuzi
tofauti na hivyo vitu ubingwa kwa yanga utabaki historia
kwa hatua ya ligi ilipofikia, mechi yeyote ile atakayocheza yanga hivi sasa simba lazima nae aicheze
iwe kwa waganga, tff, waamuzi , wachezaji wa timu pinzani ama hao hao wachezaji wa yanga wanaweza kutumiwa kuihujumu timu yao
Si rahisi ki hivyo ..Dodoma
Coastal
Mbeya City
Mbeya Kwanza
Biashara
Mtibwa
Hapa lazima upoteze point 8
Yupo kwenye siku zakeMzee baba umeshindwa kulala na kunyanduana na demu wako unaiwaza simba!!
Pole sana mkuuYupo kwenye siku zake
HahaaaMagoli yalofungwa jana tena kwa mara nyingine yamekua na utata...
Goli la kwanza kipa ameuangalia mpira ukitambaa mbele yake taratibu pasipo jishughulisha kuudaka,hadi unamfikia mfungaji anafunga kirahisi,anyway pengine ni mambo ya mlungula hatujui..tumeona hata wachambuzi half time wameongelea hili na wakasisitiza kipa analo la kujibu kwa goli lile.
Goli la pili ni clear offside.
Kibendera anapotezea na refa anaonyesha kati.wachezaji watatu wapo peke yao..
Mwamuzi wa kati anapuliza kipenga cha kwenda mapumziko wakati wachezaji wakiwa kwenye move wakiumiliki mpira wakishambulia na wakikaribia kuingia ndani ya box..
Toka majuzi nimeongea hawa watu wamejikita zaidi kwenye mbinu chafu za nje ya uwanja sababu kwa ndani ya uwanja wanajijua hawapo vizuri na uwezo hawana mechi karibu ya tatu sasa tunaona timu wanazocheza nazo zikimiliki mpira vizuri kwa kipindi kirefu ila ati wao ndio wanaibuka washindi!
Kinacho wabeba kwa sasa ni
1)Ulozi
2)kutumia Pesa either kwa waamuzi au Wachezaji wa timu pinzani
3)Msaada toka kwa baadhi ya waamuzi ili tu washinde mchezo husika.
Kwa mfuatiliaji makini atagundua kuwa hawa watu baada tu ya kutolewa kule Caf wamekuja na mikakati hiyo ili wachukue ubingwa kwa style hiyo
Na ndiyo kisa tokea mechi ya dearby walisharoga hii timu inayoongoza ligi iwe ngumu sasa kwao kupata goli..kitu ambacho waweza sema kwa 80% imeonyesha wamefanikiwa!
Jiulize timu inapata nafasi za wazi karibia kumi lakini zote either zigonge bomba hata kama ni mara mbili...au mchezaji anapata kigugumizi cha miguu,au mpira tu unapaa langoni katika hali ya kustajabisha!.mara mpira umeenda nyavu ndogo...unajiuliza iweje mambo haya yaje kutokea nyakati hizi?
Sasa cha kushangaza zaidi hii timu ambayo haipo katika form ndiyo sasa inapata ushindi....timu ambayo hata wao wanakiri safari hii imesajiri vizuri eti ndiyo inatoka bila goli mechi tatu mfululizo..!
Hii hali inatisha fikiria sana haya niliyoandika ifikirie pia video iliyosambaa juzi ikionyesha watu wanavyoroga wachezaji bora ati wawe wazito na wasifunge utaamini lisemwalo,haya mambo wametoka nayo huko caf walipotolewa ndiyo wamehamia huku kwa nguvu kubwa ili kulazimisha ubingwa.
Wito Viongozi wa timu nyingine tafuteni namna ya kupoozesha uchawi huu haraka vinginevyo tutaendelea kubaki midomo wazi kwa mshangao kwa yatakayotokea.
Mkuu Pettymagambo Hawa si walisema kuwa kileleni kuna baridi.. Ngoja sasa tuwaletee joto kali, kwahivyo watulie hivyo hivyoUto mmeanza sasa! Yan unataka kutuaminisha mayele kalogwa na simba apaishe ule mpira? Au saido kalogwa na simba amzuie djuma kupiga penalt na ampe mayele? Ghazwat
Scars
Mshana Jr ebu njoeni
muone hawa watu
wanavotabika! n cjui
kama game ijayo ikiwa
watadroo naiona safar
yakwenda kwa mama
kusema.
Simba mwana kulitaka, mwana kulipe.....?
Wale wengine waliochimbia kitu na kukimwagia maji unawaongeleaje kiongozi?Magoli yalofungwa jana tena kwa mara nyingine yamekua na utata...
Goli la kwanza kipa ameuangalia mpira ukitambaa mbele yake taratibu pasipo jishughulisha kuudaka,hadi unamfikia mfungaji anafunga kirahisi,anyway pengine ni mambo ya mlungula hatujui..tumeona hata wachambuzi half time wameongelea hili na wakasisitiza kipa analo la kujibu kwa goli lile.
Goli la pili ni clear offside.
Kibendera anapotezea na refa anaonyesha kati.wachezaji watatu wapo peke yao..
Mwamuzi wa kati anapuliza kipenga cha kwenda mapumziko wakati wachezaji wakiwa kwenye move wakiumiliki mpira wakishambulia na wakikaribia kuingia ndani ya box..
Toka majuzi nimeongea hawa watu wamejikita zaidi kwenye mbinu chafu za nje ya uwanja sababu kwa ndani ya uwanja wanajijua hawapo vizuri na uwezo hawana mechi karibu ya tatu sasa tunaona timu wanazocheza nazo zikimiliki mpira vizuri kwa kipindi kirefu ila ati wao ndio wanaibuka washindi!
Kinacho wabeba kwa sasa ni
1)Ulozi
2)kutumia Pesa either kwa waamuzi au Wachezaji wa timu pinzani
3)Msaada toka kwa baadhi ya waamuzi ili tu washinde mchezo husika.
Kwa mfuatiliaji makini atagundua kuwa hawa watu baada tu ya kutolewa kule Caf wamekuja na mikakati hiyo ili wachukue ubingwa kwa style hiyo
Na ndiyo kisa tokea mechi ya dearby walisharoga hii timu inayoongoza ligi iwe ngumu sasa kwao kupata goli..kitu ambacho waweza sema kwa 80% imeonyesha wamefanikiwa!
Jiulize timu inapata nafasi za wazi karibia kumi lakini zote either zigonge bomba hata kama ni mara mbili...au mchezaji anapata kigugumizi cha miguu,au mpira tu unapaa langoni katika hali ya kustajabisha!.mara mpira umeenda nyavu ndogo...unajiuliza iweje mambo haya yaje kutokea nyakati hizi?
Sasa cha kushangaza zaidi hii timu ambayo haipo katika form ndiyo sasa inapata ushindi....timu ambayo hata wao wanakiri safari hii imesajiri vizuri eti ndiyo inatoka bila goli mechi tatu mfululizo..!
Hii hali inatisha fikiria sana haya niliyoandika ifikirie pia video iliyosambaa juzi ikionyesha watu wanavyoroga wachezaji bora ati wawe wazito na wasifunge utaamini lisemwalo,haya mambo wametoka nayo huko caf walipotolewa ndiyo wamehamia huku kwa nguvu kubwa ili kulazimisha ubingwa.
Wito Viongozi wa timu nyingine tafuteni namna ya kupoozesha uchawi huu haraka vinginevyo tutaendelea kubaki midomo wazi kwa mshangao kwa yatakayotokea.
Kwani wamepanic nini mbona point 8 ni nyingi sanaMkuu Pettymagambo Hawa si walisema kuwa kileleni kuna baridi.. Ngoja sasa tuwaletee joto kali, kwahivyo watulie hivyo hivyo
Aliulizwa mzee mpili...akasema "yanga mbele mwiko nyuma"Saiv naona wanaingia na slogan ya "Mayele daima mbele, Yanga na Mwiko nyuma"
Naskia kelele huko wanaliaa
Uko sahihi kabisa na ninakuunga mkono. Ni kweli kuwa Simba walimpa hela Mawele ili apaishe penalt... Isitoshe wakafika mbali wakampa rushwa Mloko ili akose goli la wazi.Magoli yalofungwa jana tena kwa mara nyingine yamekua na utata...
Goli la kwanza kipa ameuangalia mpira ukitambaa mbele yake taratibu pasipo jishughulisha kuudaka,hadi unamfikia mfungaji anafunga kirahisi,anyway pengine ni mambo ya mlungula hatujui..tumeona hata wachambuzi half time wameongelea hili na wakasisitiza kipa analo la kujibu kwa goli lile.
Goli la pili ni clear offside.
Kibendera anapotezea na refa anaonyesha kati.wachezaji watatu wapo peke yao..
Mwamuzi wa kati anapuliza kipenga cha kwenda mapumziko wakati wachezaji wakiwa kwenye move wakiumiliki mpira wakishambulia na wakikaribia kuingia ndani ya box..
Toka majuzi nimeongea hawa watu wamejikita zaidi kwenye mbinu chafu za nje ya uwanja sababu kwa ndani ya uwanja wanajijua hawapo vizuri na uwezo hawana mechi karibu ya tatu sasa tunaona timu wanazocheza nazo zikimiliki mpira vizuri kwa kipindi kirefu ila ati wao ndio wanaibuka washindi!
Kinacho wabeba kwa sasa ni
1)Ulozi
2)kutumia Pesa either kwa waamuzi au Wachezaji wa timu pinzani
3)Msaada toka kwa baadhi ya waamuzi ili tu washinde mchezo husika.
Kwa mfuatiliaji makini atagundua kuwa hawa watu baada tu ya kutolewa kule Caf wamekuja na mikakati hiyo ili wachukue ubingwa kwa style hiyo
Na ndiyo kisa tokea mechi ya dearby walisharoga hii timu inayoongoza ligi iwe ngumu sasa kwao kupata goli..kitu ambacho waweza sema kwa 80% imeonyesha wamefanikiwa!
Jiulize timu inapata nafasi za wazi karibia kumi lakini zote either zigonge bomba hata kama ni mara mbili...au mchezaji anapata kigugumizi cha miguu,au mpira tu unapaa langoni katika hali ya kustajabisha!.mara mpira umeenda nyavu ndogo...unajiuliza iweje mambo haya yaje kutokea nyakati hizi?
Sasa cha kushangaza zaidi hii timu ambayo haipo katika form ndiyo sasa inapata ushindi....timu ambayo hata wao wanakiri safari hii imesajiri vizuri eti ndiyo inatoka bila goli mechi tatu mfululizo..!
Hii hali inatisha fikiria sana haya niliyoandika ifikirie pia video iliyosambaa juzi ikionyesha watu wanavyoroga wachezaji bora ati wawe wazito na wasifunge utaamini lisemwalo,haya mambo wametoka nayo huko caf walipotolewa ndiyo wamehamia huku kwa nguvu kubwa ili kulazimisha ubingwa.
Wito Viongozi wa timu nyingine tafuteni namna ya kupoozesha uchawi huu haraka vinginevyo tutaendelea kubaki midomo wazi kwa mshangao kwa yatakayotokea.
Hili likitokea itakuja vurugu kubwa sana Uto.ndio itakuwa mwanzo wa kukosa ubingwaGSM Kasema Ikifungwa Utopolo Anaiacha Kabisa