Wanaendeleza Mbinu Chafu Tusishangae Wakautwaa Ubingwa.

Magoli yalofungwa jana tena kwa mara nyingine yamekua na utata..
Una uhakika na unachosema?

Goli la kwanza kipa ameuangalia mpira ukitambaa mbele yake taratibu pasipo jishughulisha kuudaka,hadi unamfikia mfungaji anafunga kirahisi,a

Sasa shida ya Simba hapo nini ikiwa kipa alipenda rangi ya mpira ikimulikwa na mataa ya Lupaso🤣. Ulitaka mfungaji amhurumie kwa kuwa kipa atakuwa na la kujibu. Acha hizo wewe jamaa...

anyway pengine ni mambo ya mlungula hatujui..tumeona hata wachambuzi half time wameongelea hili na w

Sasa ndugu ikiwa haujui unalalamika nini sasa, au ni mazoea yenu kulalama. Shindeni mechi zenu zote hakuna anaewazuia kutwaa ubingwa hata ikiwa Simba watahonga TFF yote na CAS 🤣🤣🤣. CAS ya Morrisson.
Goli la pili ni clear offside.
Kibendera anapotezea na refa anaonyesha kati.wachezaji watatu wapo peke yao..
Hii yote ni presha tu. Mechi zinafuata pendekezeni Manara awe Mwamuzi wa kati maana toka kipindi cha CAF CC mnalalamika tu. Kwa hiyo watu watatu waotee mwamuzi aweke kati. Kweli mashabiki wa Yanga ni ng'ombe wa Mayele 🤣🤣🤣🍟.
Mwamuzi wa kati anapuliza kipenga cha kwenda mapumziko wakati wachezaji wakiwa kwenye move wakiumiliki mpira wakishambulia na wakikaribia kuingia ndani ya box..
Kwa hiyo wakiingia ndani ya 18 ni goli? Ulitaka refarii awaongezee muda wake wakati muda wa mchezo kipindi cha kwanza umeisha. Huu sasa ndio uchawi wenyewe.
mechi karibu ya tatu sasa tunaona timu wanazocheza nazo zikimiliki mpira vizuri kwa kipindi kirefu ila ati wao ndio wanaibuka washindi
Pelekeni malalamiko CAS kwamba timu zinamiliki mpira halafu hazishindi kila zikikutana na mnyama mkali Simba.
1)Ulozi
2)kutumia Pesa either kwa waamuzi au Wachezaji wa timu pinzani
3)Msaada toka kwa baadhi ya waamuzi ili tu washinde mchezo husika.
Ikiwa mnajua haya yote yanawezekana na yanafanyika. Basi fanyeni. Hapa shida kubwa ni Mayele hajatetema muda mrefu basi Utopolo wote mmechanganyikiwa. Shindeni tu mechi zenu zote mtatwaa ubingwa hata kama Simba wataroga viwanja vyote na kuhonga waamuzi wote.

Acheni malalamiko chezeni mpira. Sasa hivi tofauti ni point 8. Vipi kama ingekuwa 1 au ninyi mnafukuzia kwa gap kubwa hivyo si mngezimia wote🤣😄
 
Mkuu Pettymagambo Hawa si walisema kuwa kileleni kuna baridi.. Ngoja sasa tuwaletee joto kali, kwahivyo watulie hivyo hivyo

Wanateseka uto maskini! Wanaona papa wenyenguvu baharini wanakimendea kimtumbwi chao cha matete! Wanahitaji huruma, wanatamani iwe ndoto lakini ndo hivyo wavue masweta tu huko kileleni si hawataki baridi? Pumzi ya moto wanaionja sasa, then wataelewa kwamba
Simba ni mwana kulitaka, mwana kulipewaaaaaa!
 
Popote mtakapomuona Huyu jamaa Sijui anajiita 'IbenezAfrika' chonde chonde Msimwachie Avuke Barabara Yenye Magari Mwenyewe.

Ni hatari sana Alipofikia anaweza Kugongwa tukajikuta tumempoteza Mwana JF mwenzetu hivi hivi..!
uzuri nipo kijijini
 
Wale wengine waliochimbia kitu na kukimwagia maji unawaongeleaje kiongozi?
Hiyo video hujaiona tangu mwanzo,ungeiona usingeuliza wee uneona clip kipande cha mwisho au umehadithiwa tu mitaani
Tafuta video yote ile then urudi hapa
 
Wanayanga em tuache upopoma sometymz, hivi kwenye ile mechi saido kilimshinda nini kumpa mpigaji penati wa timu??
Huyu dogo feisal kilimshinda nini kufunga mpaka akampa pasi mayele aliekua kabanwa na maadui ??
Makambo badala ya kumove na mpira yeye anatembea mpaka akashindwa kumalizia cross ya mayele.

Kwa jinsi zile pointi tulizowaacha makolo zilivyokua nyingi wachezaji waliona wamemaliza yote kilichobaki ni kutetema tu.
Haya sasa kutetema hakupo na huyo mayele asipoangalia mpole anamzidi magoli.
Tatizo baadhi ya vichezaji yanga utoto mwingi sana.
 
Magoli yalofungwa jana tena kwa mara nyingine yamekua na utata...
Goli la kwanza kipa ameuangalia mpira ukitambaa mbele yake taratibu pasipo jishughulisha kuudaka,hadi unamfikia mfungaji anafunga kirahisi,anyway pengine ni mambo ya mlungula hatujui..tumeona hata wachambuzi half time wameongelea hili na wakasisitiza kipa analo la kujibu kwa goli lile.

Goli la pili ni clear offside.
Kibendera anapotezea na refa anaonyesha kati.wachezaji watatu wapo peke yao..

Mwamuzi wa kati anapuliza kipenga cha kwenda mapumziko wakati wachezaji wakiwa kwenye move wakiumiliki mpira wakishambulia na wakikaribia kuingia ndani ya box..

Toka majuzi nimeongea hawa watu wamejikita zaidi kwenye mbinu chafu za nje ya uwanja sababu kwa ndani ya uwanja wanajijua hawapo vizuri na uwezo hawana mechi karibu ya tatu sasa tunaona timu wanazocheza nazo zikimiliki mpira vizuri kwa kipindi kirefu ila ati wao ndio wanaibuka washindi!

Kinacho wabeba kwa sasa ni

1)Ulozi
2)kutumia Pesa either kwa waamuzi au Wachezaji wa timu pinzani
3)Msaada toka kwa baadhi ya waamuzi ili tu washinde mchezo husika.

Kwa mfuatiliaji makini atagundua kuwa hawa watu baada tu ya kutolewa kule Caf wamekuja na mikakati hiyo ili wachukue ubingwa kwa style hiyo
Na ndiyo kisa tokea mechi ya dearby walisharoga hii timu inayoongoza ligi iwe ngumu sasa kwao kupata goli..kitu ambacho waweza sema kwa 80% imeonyesha wamefanikiwa!

Jiulize timu inapata nafasi za wazi karibia kumi lakini zote either zigonge bomba hata kama ni mara mbili...au mchezaji anapata kigugumizi cha miguu,au mpira tu unapaa langoni katika hali ya kustajabisha!.mara mpira umeenda nyavu ndogo...unajiuliza iweje mambo haya yaje kutokea nyakati hizi?

Sasa cha kushangaza zaidi hii timu ambayo haipo katika form ndiyo sasa inapata ushindi....timu ambayo hata wao wanakiri safari hii imesajiri vizuri eti ndiyo inatoka bila goli mechi tatu mfululizo..!

Hii hali inatisha fikiria sana haya niliyoandika ifikirie pia video iliyosambaa juzi ikionyesha watu wanavyoroga wachezaji bora ati wawe wazito na wasifunge utaamini lisemwalo,haya mambo wametoka nayo huko caf walipotolewa ndiyo wamehamia huku kwa nguvu kubwa ili kulazimisha ubingwa.

Wito Viongozi wa timu nyingine tafuteni namna ya kupoozesha uchawi huu haraka vinginevyo tutaendelea kubaki midomo wazi kwa mshangao kwa yatakayotokea.
Ha ha haa acha nicheke kidogo.

Huko ni kupanic au vipi brother?
Wachawi nyie mmezoea vya kunyonga mnafikiri kila mtu ananyonga
 
Kikwete alishatushauri wana Yanga tuache kulalamika na sisi tufanye kama wao.ka wananunua marefa na wachezaji kinatushinda nini sisi.tukikaa kizembe ubingwa tutausikia msimu huu.usikute hata wachezaji wetu wamekula mlungula.
 
Unakinzana na semaji lako?

BFC61650-9309-480A-96F5-64FF77914DDD.jpeg
 
Eh wamesahau yale magoli yao ya mayele.anashika ndan ya box alafu anapewa penati yeye ,😆😆😆
 
Si mlisema kileleni kuna baridi? Subirini mvutishwe pumzi ya moto..
 
Magoli yalofungwa jana tena kwa mara nyingine yamekua na utata...
Goli la kwanza kipa ameuangalia mpira ukitambaa mbele yake taratibu pasipo jishughulisha kuudaka,hadi unamfikia mfungaji anafunga kirahisi,anyway pengine ni mambo ya mlungula hatujui..tumeona hata wachambuzi half time wameongelea hili na wakasisitiza kipa analo la kujibu kwa goli lile.

Goli la pili ni clear offside.
Kibendera anapotezea na refa anaonyesha kati.wachezaji watatu wapo peke yao..

Mwamuzi wa kati anapuliza kipenga cha kwenda mapumziko wakati wachezaji wakiwa kwenye move wakiumiliki mpira wakishambulia na wakikaribia kuingia ndani ya box..

Toka majuzi nimeongea hawa watu wamejikita zaidi kwenye mbinu chafu za nje ya uwanja sababu kwa ndani ya uwanja wanajijua hawapo vizuri na uwezo hawana mechi karibu ya tatu sasa tunaona timu wanazocheza nazo zikimiliki mpira vizuri kwa kipindi kirefu ila ati wao ndio wanaibuka washindi!

Kinacho wabeba kwa sasa ni

1)Ulozi
2)kutumia Pesa either kwa waamuzi au Wachezaji wa timu pinzani
3)Msaada toka kwa baadhi ya waamuzi ili tu washinde mchezo husika.

Kwa mfuatiliaji makini atagundua kuwa hawa watu baada tu ya kutolewa kule Caf wamekuja na mikakati hiyo ili wachukue ubingwa kwa style hiyo
Na ndiyo kisa tokea mechi ya dearby walisharoga hii timu inayoongoza ligi iwe ngumu sasa kwao kupata goli..kitu ambacho waweza sema kwa 80% imeonyesha wamefanikiwa!

Jiulize timu inapata nafasi za wazi karibia kumi lakini zote either zigonge bomba hata kama ni mara mbili...au mchezaji anapata kigugumizi cha miguu,au mpira tu unapaa langoni katika hali ya kustajabisha!.mara mpira umeenda nyavu ndogo...unajiuliza iweje mambo haya yaje kutokea nyakati hizi?

Sasa cha kushangaza zaidi hii timu ambayo haipo katika form ndiyo sasa inapata ushindi....timu ambayo hata wao wanakiri safari hii imesajiri vizuri eti ndiyo inatoka bila goli mechi tatu mfululizo..!

Hii hali inatisha fikiria sana haya niliyoandika ifikirie pia video iliyosambaa juzi ikionyesha watu wanavyoroga wachezaji bora ati wawe wazito na wasifunge utaamini lisemwalo,haya mambo wametoka nayo huko caf walipotolewa ndiyo wamehamia huku kwa nguvu kubwa ili kulazimisha ubingwa.

Wito Viongozi wa timu nyingine tafuteni namna ya kupoozesha uchawi huu haraka vinginevyo tutaendelea kubaki midomo wazi kwa mshangao kwa yatakayotokea.
Ulichoandika ni kweli kabisa, wale jamaa wamewekeza nguvu kubwa sana kwenye ushirikina, mechi zao nyingi wanashinda kishirikina, na kuna wachezaji wao baadhi perfomance zao zinatokana na nguvu za kishirikina na hao ndio wanao ndo wanaokuja kuamuwa ubingwa, utaona mchezaji mwanzo wa msimu hafanyi vizuri na anakuwa majeruhi muda mrefu ila meche kumi za mwisho ndo anakuwa moto na kiatu anachukua.
Kwa kifupi kamati ya ufundi yao imejipanga sana.
Biongozi wa Yanga wasitegemee ubingwa kirahisi, na wawalinde sana wachezaji wao, sio kweli kwamba Yanga miaka yote wanasajili wachezaji wabovu hapana, wanarogwa na wapinzani wao.
Utashangaa mchezaji alikuwa mzuri alipo toka akifika Yanga anakuwa mbovu au majerui hayamwishi.
 
Mama samia mnakutana nae lini utopolo maana mlisema mna mazungumzo nae walesi karia hawasikilizi.
 
Ulichoandika ni kweli kabisa, wale jamaa wamewekeza nguvu kubwa sana kwenye ushirikina, mechi zao nyingi wanashinda kishirikina, na kuna wachezaji wao baadhi perfomance zao zinatokana na nguvu za kishirikina na hao ndio wanao ndo wanaokuja kuamuwa ubingwa, utaona mchezaji mwanzo wa msimu hafanyi vizuri na anakuwa majeruhi muda mrefu ila meche kumi za mwisho ndo anakuwa moto na kiatu anachukua.
Kwa kifupi kamati ya ufundi yao imejipanga sana.
Biongozi wa Yanga wasitegemee ubingwa kirahisi, na wawalinde sana wachezaji wao, sio kweli kwamba Yanga miaka yote wanasajili wachezaji wabovu hapana, wanarogwa na wapinzani wao.
Utashangaa mchezaji alikuwa mzuri alipo toka akifika Yanga anakuwa mbovu au majerui hayamwishi.
Yaani ni full uchawi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom