Wanaelewana lakini!!?

Baba rai

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
228
292
4e7ed68a8291015b476fb7e03a2d940f.jpg
 
mh ata sisi tuliowajiri hatuwaelewi kabisa...maana sisi ndio mabosi au sio maana bila sisi wananchi pasingekuwa na viongozi viongozi wasingekuwepo kabisa
 
Kabla halijazingatiwa hili linakuja hili, kuelewana ni vigumu
 
Nimesoma hiyo barua ina muhuri " SIRI"-kali.

Unataka kusema tujajipinga wenyewe?

Mkuu jiandae kuzingirwa kwa "uchochezi..."
 
Back
Top Bottom