Wanadata na miguu yangu loh

Wanadata na miguu yangu loh

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
KIJANA Carl Griffiths, 19, (pichani) ndiye mwanaume mwenye miguu mirefu duniani. Kituko ni kwamba anatumia ukubwa wa miguu yake kunasa wanawake. Carl, raia wa Uingereza, amesema kuwa mpaka sasa ameshatoka kimapenzi na wanawake 30 ambao walidata kwake kutokana na urefu wa miguu yake. Amesema kuwa wanawake wengi wanavutiwa naye kwa kuamini kwamba ana kitu cha ziada kwenye mapenzi kutokana na ukubwa wa miguu yake
 
attachment.php

Kumbe mzungu!!
Afu ungesema wanadata na makanyagio yangu sio miguu.
 
mi mbongo ....nina makanyagio zaidi ya hayo!! mbona totoz zinaniogopa? wanadhani na rejao atakuwa kama hayo makanyagio!!
 
mi mbongo ....nina makanyagio zaidi ya hayo!! Mbona totoz zinaniogopa? Wanadhani na rejao atakuwa kama hayo makanyagio!!
totoz za bongo zinaangalia wallet eti sio kanyagio hata wao wanazo loh?
 
ngoja nianze kusaka noti! na ile mijimama yenye hela zao huwa yanafuata nini kwa dogo dogo!!
 
ha ha ha, veve iko na guu kubwa kubwa?

Mimi iko PM veve.

mi mbongo ....nina makanyagio zaidi ya hayo!! mbona totoz zinaniogopa? wanadhani na rejao atakuwa kama hayo makanyagio!!
 
weeeee, vyote vinahusu.
Ngoja ukutane na mivog yenye visigara kama hujatafuta kidumu fasta.
mmmh sidati na kanyagio mweee??????? Ila wallet dah naweza kusmile
 
aaaaaagrrr!!!!! :shock: nilijua bonge la dada kumbe bendera..
 
Back
Top Bottom