Wanadata na miguu yangu loh

Wanadata na miguu yangu loh

Mpaka avue sox ndio taamini kama ana miguu mirefu
 
Smile kabla ya kuchangia chochote katika sredi yako, rudisha avatar yako bana!!
 
smile kabla ya kuchangia chochote katika sredi yako, rudisha avatar yako bana!!
ahahaaa siamini macho yangu kama ni wewe dah heri umetoka kule bwana,unaona vizuri huku kweli au nikushike mkono? Karibu sana
 
huyo mpumbavu tu,wanawake 30 tu anajitangaza hivyo,miguu yangu mifupi kama chupa ya chai lakini nikimwambia idadi ya mademu niliowabandua si atakimbia? Nalog off
 
ahahaaa siamini macho yangu kama ni wewe dah heri umetoka kule bwana,unaona vizuri huku kweli au nikushike mkono? Karibu sana

Aaaah sasa ndo umefanyaje sasa!! Rudisha ile avatar yako bana!!!
Au ile ni ya kuingilia kule!! Duh.
 
ungeiweka jf photos ingependeza sana lakini..! au nakosea..!
 
Back
Top Bottom