Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Vyuoni utasikia mwanadada mrembo akitokea darasa limemkubali na hashikiki wenzie huanza kumkandia ya kuwa hizo ni "maksi za chupi"
Hivi kuna ukweli hapo au ni wivu wa "sizitaki mbichi hizi" huku wakijua zimewiva?
Na mwanaume akiwa hakamatiki zinakuwa ni marks za nini?

where is sokomoko:dance::dance::dance:
[COLOR=red[B]]Endelea kijana bado post kidogo sana ugonge buku[/B]...........nina imani leo jua likitua utakuwa umetimiza elfu ya kwanza keep it up..[/COLOR]
hizo maksi mbona zipo sana tu na zinajulikanakawaida story za vijiweni ingawaje saa zingine yasemwayo yapo na hapo ndo tunashindwa kutofautisha ukweli na uongo
Na mwanaume akiwa hakamatiki zinakuwa ni marks za nini?
I am HERE wiselady najua lazima ukiona hizi thread za public policy analyst lazima unikumbuke kwa tabasamu heheheh
wivu tu