Wanachuo wote inawahusu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachuo wote inawahusu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dodoso33, Oct 20, 2012.

 1. dodoso33

  dodoso33 Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli kuweni makini na vitu vyenu hasa hasa LAPTOP NA ATM CARD ZENU kwa kweli chuo watu ni wezi wakupindukie wengne ni watoto wa matajiri bt mtoto anakuwa na hulka ya wizi sasa hapo kuweni makini hasa hasa wale 1st year punguza mbwembwe acha laptop yako nyumba soma mazingra kwanza ndio uje nayo mpaka dakika hii nayo kuambia nipo chuoni LAPTOP 9 tayari zimeshaibiwa
  ushauri kuwa makini na laptop na atm card yako
   
 2. Mwl Mkwaya

  Mwl Mkwaya Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Festi Yia mmesikiaaaaa????
  Kila bum mtanunua dell used nyngn......
   
 3. dodoso33

  dodoso33 Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uko sawa kabisa mkuu
   
 4. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Ushauri mzuri
   
 5. S

  Sine r Winters Senior Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mi nimeacha laptop na iphone home nxijekufa presha bureee,km wanataka waniibie na hiki kivodafone bac.
   
 6. f

  furaha2008 Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ime2lia iyo wadau bonge la ushauli ilo
   
 7. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Kweli kabisa hasa ud pale mabibo hostel nilikuwa nikishuhudia watu wanaibiwa kila siku. Kumbuka huwa funguo watu hawarudishi wanapomaliza so utakuta mtu anafunguo wa room fulani anaingia anafanya vyake.
   
 8. M

  MLEKIZAYO Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kweli?
   
 9. S

  Sukula JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 1,214
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  labda hiyo ipo kwa vyuo vingine lakini kwa SAUT sijawahi sikia zaidi ya watu kuvamia vyumba kwa kuvunja milango na kuiba.
   
 10. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  duh! Itabidi nijitahidi kukatunza haka kamini kangu,wakikaiba itanikost sana.
   
Loading...