cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,804
Nachukua nafasi hii kuiomba board ya mikopo kuwatupia jicho la tatu watoto walio kubari kwenda kusoma nchi za Algeria na China,Kuwasaidia haraka sana,
Maisha ya nje ni magumu sana hasa kwa watoto wa masikini wanaotegemea boom hilo kwa ajili ya kujikimu kwa maisha ya kila siku
Hali ya maisha nchi hizi ni ngumu nitofauti sana na Europe au USA ambapo unaweza pata ajira ndogo ndogo ukasukuma maisha.
Ninahofu wanaweza kuingia kwenye hali ngumu na kushawishika kuishi kinyama na kuharibu jina la nchi yetu.na pia kupoteza uwezo wa kusoma na future yao.
Wapo watoto wa matajiri ambao wazazi wao wanaweza kuwasupport lakini pia kuna kundi kubwa la makapuku,hili kundi ndio lina nitia wasiwasi.
Waangaliwe kwa upekee vijana hawa.