cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,801
labda iombe serikali ya awamu ya 6Nachukua nafasi hii kuiomba board ya mikopo kuwatupia jicho la tatu watoto walio kubari kwenda kusoma nchi za Algeria na China,Kuwasaidia haraka sana,
Maisha ya nje ni magumu sana hasa kwa watoto wa masikini wanaotegemea boom hilo kwa ajili ya kujikimu kwa maisha ya kila siku
Hali ya maisha nchi hizi ni ngumu nitofauti sana na Europe au USA ambapo unaweza pata ajira ndogo ndogo ukasukuma maisha.
Ninahofu wanaweza kuingia kwenye hali ngumu na kushawishika kuishi kinyama na kuharibu jina la nchi yetu.na pia kupoteza uwezo wa kusoma na future yao.
Wapo watoto wa matajiri ambao wazazi wao wanaweza kuwasupport lakini pia kuna kundi kubwa la makapuku,hili kundi ndio lina nitia wasiwasi.
Waangaliwe kwa upekee vijana hawa.
awamu hii wameamua kunyanyasa wananchi hata ukila wali tu wanamind
ndiyo mkuuHahaha unataka kusema awamu hii ni ya kijelous
Ova
ila si mchochezi mimiKuna ka ukweli kabisa
Ova
Mchochezi tayari kwa yule saint.....chunguliaa nje isije ikawa difenda ishakuja....ila si mchochezi mimi
nitamkana wanilipeMchochezi tayari kwa yule saint.....chunguliaa nje isije ikawa difenda ishakuja....
Ova
watanifunga pesa yangu ngumu kupataThubutu......andaa kbsa mln 7
Ova
its hard sana living abroad in those socialist countries kazi zenyewe hazili kiivyo,nina rafiki yangu kasoma China anasema alisota sanaWengi wanaotegemea kusoma kwa mkopo nje ya nchi wanapata shida sana. Miaka ya JK nakumbuka kuna jamaa zangu walikuwa Moscow, walikuwa wanaishi kwa shida sana at times, waliweza kusubiri boom hadi miezi miwili hola. Nikawashauri wapige mzigo wajitafutie pesa walipe fees na accommodations..ikija boom poa, lisipokuja maisha yaende, naamini wananishukuru kwa hilo.
Sio kweli, labda huko China. In Moscow now uwe mvivu tu, hata miji midogo watu walio determined wanapiga kazi na kujisomesha bila shida. Binafsi nilivyoona mambo ya mikopo yanazingua I worked for my pocket money, accommodations, tuition fees na nilisoma bila shida.its hard sana living abroad in those socialist countries kazi zenyewe hazili kiivyo,nina rafiki yangu kasoma China anasema alisota sana