Wanachuo waheshimiwe...

Hivi kwann wanachuo wengi wanawachukuliwa kama wadangaji au malaya? Hii sio sawa
Jamii inatakiwa ielimishwe sio kila mwanachuo ni malaya.
Ni hali tu ya kuwa smart na mavazi tu nothing else.
Nikiliona hili jina lako tu, nakumbuka mengi mno.
Hujikuta nasafiri kifikra!

Masomo mema
 
Sema nini inaboa sana!! Nakumbuka enziii nipo chuoni demu wangu alikua akiniita Malaya,aiseh hii ndo moja ya sababu tukaachana!!! Nilikua sipendezwi na jina hilo isitoshe nilikua nampenda sana na sikuwahi fikiria kumsaliti ila nilipoona jina lile haliachii nikafanya kweli na tukaachana!
 
Nyinyi asilimia kubwa, hasa wa kike ni Malaya! Hakuna kuficha wala nin. Hivi unawezaje mdada kutoka nje ukazurura na kigauni cha kumvalia mwanaume wako ndani au cha kuvaa night club!? Wewe unakitinga mchana kweupe?
 
Back
Top Bottom