Wanachuo ni either mshirikiane au mje mtukanwe tusi na wanasiasa la "Vijana mjiajiri" ili hali anayekuambia kujiajiri kaajiriwa!

Hypolite

JF-Expert Member
Jul 6, 2017
226
459
Kuna video ya Morisson mchezaji aliyesajiliwa simba akitokea yanga niliona mtandaoni juzi kati vijana wapo wengi wanasubiri hatima ya mgogoro wa usajili uliokuepo vijana wamejaa tena n between working days unajiulza ni kwamba ni ushabiki wanaipenda sana Team na Morisson au ni ukosefu wa ajira!!?

Kuna watu wapo on system tayari wanaona upcoming n kelele kwao Kwahiyo watafanya juu chini uendelee kubaki chini ili uwategemee kiajira na ili waweze kukutawala kirahisi
Vijana wakiwa stable financially Ni threat kubwa Sana kwa watu fulani

Mtu mweusi akishafanikiwa akafika juu ana hakikisha hakuna mwingine anayefanikiwa anavunja vunja kabisa madaraja yaliyomfikisha pale alipo ili mtu mwingine amtegemee nakumwabudu yeye

Muulize mtu mweusi alivyofanikiwa atakuambia "NI MUNGU NA BIDII" muulize mtu aliyefanikiwa katika nchi zilizoendelea atakuambia
"SOMA HICHI KITABU, SOMA HII KOZI/SEMINAR" hivo inabidi tujivunie sana wale watu wanaotuonyesha namna yakufanikiwa ktk nchi hizi zetu.

Well turudi kweny boom, Kosa pekee walilofanya hawa mafather ni kukupatia mkopo/boom bila collaterak yeyote au dhamana na ni sehem pekee unayopewa mkopo bila dhamana tusipoutitumia vyema ni juu yetu
Well pesa indeed ni ya kawaida lkn jiulze umelipa bills ngapi ambazo hazikua na maana yakulipa hyo pesa ungesave hakuna pesa nyingi pesa haijawahi kuwa nyingi hata sku moja kadri inavyokua nyingi na wants zinakua lukuki
fuatana nami nitakupitisha jinsi mimi na washikaji zangu wengine toka shule ya msingi, o level tunachokifanya ili hali sku moja mtu asije kututusi kujiajiri ili hali yeye ameajiriwa!!

FUNDRAISING INVESTMENT CLUB

Kikundi cha uwekezaji& nakukuzia mtaji kwa kuweka akiba za kawaida kabisa kama kikundi

Unachoweza kufanya ni kutoanzisha mradi wowote ukiwa chuoni probability ya mradi kufa/kuibiwa kwa kukosa usimamizi ni kubwa ila save pesa mpaka umalize chuo nakusave pesa wewe kama wew sio Rahisi vishawishi na shida zakuvunja kibubu ni nyingi kulko sababu zakukiacha kibubu kiendelee kukua well naongea per experience kitu ambacho nko nakifanya na wenzangu nishawahi kuanza kusave pindi nipo form 2 kibaha boys sec ila nilivunja vibubu mara kadhaa

Chakufanya

1. Nenda wapange watu/masela weny mtazamo kama wako muapproach mtu mmoja mmoja ambaye ni ambitious Anzisheni an investment Fund raising club ya watu wasio zidi 8 above that ni makelele tu.

2. Fungueni whatssap group ambapo mtakua mnadiscuss investment ideas, businesses ideasaeticles za uwekezaji etc, chagueni viongozi i.e Mhazini etc

3. Tengenezeni katiba yakikundi kama mpo 8 kweny kikumd basi jua kuna tabia 8 tofauti tofaut na njia pekee yakuleta tabia na lugha moja ni kupitia katiba yenu

4. Fungueni M-Koba account ya Marafiki ambapo kuhamisha pesa mtapata wote notification na kutakua na signatories wakuconfirm transaction unaweza pita hapa kweny website kuona namna yakuanzisha akaunt ya kikundi M-Koba

5. Kubalianeni minimum amount ya kila mmoja wenu kutoa mtu yeyote akitoa zaidi ya mlichokubaliana n vyema maana mtaraise portifolio kwa kasi , Anzeni kuraise portifolio yakikundi huku mkidiscuss nakushare some different business, investment ideas huku mkiendelea kuraise portifolio mpaka mkamalize chuo mtakua mshajua nini chakufanya

6. Mkijua chakufanya kabla hamjamaliza basi jitahidini kuwekeza kweny kitu cheny less risk yakupoteza mtaji kama Stock ya mazao mnunue mara tu mavuno yameanza,kuanzisha mpesa ili kusolve transaction za masela muwapo hostel etc mpesa hii huitaji hata kibanda unaweza ifanya hata kwa begi lako but tahadhar ya usalma wa pesa izingatiwe

N:B msiwekeze kwenye Financial markets kama forex hamna pesa mnayoafford kuloose

Kila la kheri wakuu hakuna atakayekuja kutukwamua ila tunawajibu wa hatima yetu wenyewe!
 
Mkuu bonge moja la wazo ila changamoto ni moja kuwapata watu ambao mtakua na mtazamo sawa na wote kuwa committed kuna watu wanajua kulia njaa acha tu.

Ndo maana watu wengi wanaamua kufa kivyao.

Ila umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
 
Mkuu bonge moja la wazo ila changamoto ni moja kuwapata watu ambao mtakua na mtazamo sawa na wote kuwa committed kuna watu wanajua kulia njaa acha tu.

Ndo maana watu wengi wanaamua kufa kivyao.

Ila umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
Rudia tena point ya 1
but inshallah ukiweza fanya peke yako tunatofautiana kihali sehem tunazotokea but Kama home hamna Mambo kushirikiana inasaidia otherwise life litatusurprise
 
Back
Top Bottom