Wanachokosea wanaume wakati wa kutongoza

Wanachokosea wanaume wakati wa kutongoza

Hizo procedures unatongoza malaika

Sisi tunafanya hivi...
"Dada habari🙄 umependeza nywele ,brauzi mbaka viatu...
Sasa sikia bibie ntie namba "

Apo umempa na simu kabisa na buttons za number ushaweka.
Imeisha hiyo
 
Namba 1 nakataaa, nmekutana na dem maeneo nishindwe chukua namba?? Ntampata wapi tena,?? Uoga wako ndo umaskin wako we kama unajilipua fanya kwel kila mtu anambinu yake kwenye kutongoza


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
malisak,

Huwa unawasikiliza wanaume wengine wakitongoza? Shule kufungwa mnatusumbua sana humu, hafu mwanaume anayejiamini hana muda wa kutongoza maongezi yake yataonesha anataka nini kwa binti, umrkiona kigori kinatembea road unakishapa buku 10 ya nauli au umekiona mgahawani unalipa bill na namba unapewa na maongezi motomoto na shukrani nyiingi zinatoka kuanzia hapo lazima masuala ya mpini yajadiliwe kwa ustadi mkubwa
 
nani kakudanganya kua kuna fomula yakutongoza?? kwanza mwanamke akiitwa tu nakidume ashajua anaenda pigwa mistari, sasa hapo fomula zako zinakaa wapi badala yakunyooka direct.
 
Bro huwajui wanawake wewe,yani huwajui kabisa

usiwafananishe na pepa la math au bios kwenye chumba

cha mtihani,kwamba usipofata maelekezo ya swali umefeli.

hawa hata ufate taratibu zote,kama Haupo akilini/moyoni mwake (hupati kitu)

Siku hizi hawa viumbe tayari wana mwanaume wanaemtaka akilini mwao

sasa wewe Jifanye kufata taratibu,kama haupo ktk to do list yake,utaangukia pua tu.
 
Nafahamu hivyo as na mie ni mwanamke pia naelewa zaidi sababu nazungukwa nao kwenye mazingira mengi,achia taaluma juu ya saikolojia, hii ni practically
Unazungukwa nao


Wewe pia ni mwanamke

Basi sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom