Pamoja na makosa yote tunayofanya..lakini kwa udhaifu wa wanawake bado tunaweza kuwapata.
Nlichogundua huyu ni mwanamke alikua approached na jamaa ye akawa analeta sitaki nataka sa jmaa kuona hivyo akampotezea sa maumivu yake ndo kaleta uzi humuJinsia yako ni ipi Mkuu?
unataka tujue Una I phone au?Mimi natumia iPhone ya milion moja na laki nne lakini kazi nayofanya hailingani na simu niliyonayo.
Somo: usikariri maisha chalio yangu
Kwa staili hii mkuu,hupati kituuHizo procedures unatongoza malaika
Sisi tunafanya hivi...
"Dada habariumependeza nywele ,brauzi mbaka viatu...
Sasa sikia bibie ntie namba "
Apo umempa na simu kabisa na buttons za number ushaweka.
![]()



Kumbe wewe ni mwanamke...ngoja nikutongoze kwa kupitia somo lako.Nafahamu hivyo as na mie ni mwanamke pia naelewa zaidi sababu nazungukwa nao kwenye mazingira mengi,achia taaluma juu ya saikolojia, hii ni practically
Uongo uliotukuka wa kujipa self gratificationMimi nina Tecno na nina Range Rover E Vogue Sport. Kazi yangu hata Meneja wa Kanda wa Benki hanifikii hata robo
Hivi Wale Wasichana Ambao Ukiwatongoza Anakukatalia ...Halafu Akikuona Upo Na Msichana Mwingine Anakasirika ..............Hili Tatizo Kitaalam Linaitwaje.....??Nlichogundua huyu ni mwanamke alikua approached na jamaa ye akawa analeta sitaki nataka sa jmaa kuona hivyo akampotezea sa maumivu yake ndo kaleta uzi humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina BMW pia
Hili tatizo sijuiii ni nini kuna mmoja alinizengua sasa kuna siku ameona,níko karibu na manzi mmoja aiseee sio kwa msg zilee.Hivi Wale Wasichana Ambao Ukiwatongoza Anakukatalia ...Halafu Akikuona Upo Na Msichana Mwingine Anakasirika ..............Hili Tatizo Kitaalam Linaitwaje.....??
Hapa umetudakia mwizi chaliangu!! Ngoja tumshughulikieJinsia yako ni ipi Mkuu?