Wanachokosea wanaume wakati wa kutongoza

Mkuu unaongelea wadada wa generation hii tulionayo au ipi....%Kubwa n wapenda pesa na kutelezea naungana na mdau mmoja kasema pamoja na yote hayo ila tusisahau kutafuta pesa it acts as a +'ve catalyst
 
1.Papara
Wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.

2.Kujifake
Wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno

3.Kutosoma mood ya mwanamke
Unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,,

4.Kumponda ur ex lover
Mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.

5.Kulalamika
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.UKITULIA NA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA KUYATENDA HAYA MBONA UTAMPATA KILA UMTAKAE
Nilisahau issue muhimu (MIAMALA HAISOMI)
 
Hizo procedures unatongoza malaika 😂😂😂

Sisi tunafanya hivi...
"Dada habari🙄 umependeza nywele ,brauzi mbaka viatu...
Sasa sikia bibie ntie namba "

Apo umempa na simu kabisa na buttons za number ushaweka.
😛😛😛😛😛😛😛😛
ENDELEA KUFUKUZA UPEPO
 
Hivi Kuna watu wanatongoza mpaka Leo?
 
Salimia jifanye unaulizia kitu maeneo hayo..usionyeshe dalili zozote za kutaka papuchi...chukua namba Kwa GIA ya kuulizia zaidi hicho kitu...labda ujidai unatafuta nyumba,Or Kuna mtu unamtafuta maeneo hayo nk nk......baadaye piga simu kushukuru ukionyesha Bado hukufanikiwa hicho kitu hivyo Bado utahitaji msaada.....mtumie pesa kidogo 20k hivi na kuendelea....mwambie ni ya usumbufu.....ni ndani ya week....muombe mkutane nunua na chakula kabisa piga story za kawaida...baadaye Anza kuulizia ulifika ?ehh uko wapi.....mara unafanyaje....ndani ya mwenzi tuma Tena pesa kidogo....weeee hatachomoa na ataanza kukutafuta! Ndani ya mwenzi utakuwa ushajiongeza mwambie mtt umekufa ukaoza ya fuatayo yatakufurahisha.. utajibiwa ngoja nikufikirie hiyo ni Ndio!.. shindwa Kula mzigo tu..mbinu Moja katika maelfu ya mbinu haitumiwi Kila mahala...inategemea na mazingira
 
1. Papara
Wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.

2. Kujifake
Wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno

3. Kutosoma mood ya mwanamke
Unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,,

4. Kumponda ur ex lover
Mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.

5. Kulalamika
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.UKITULIA NA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA KUYATENDA HAYA MBONA UTAMPATA KILA UMTAKAE
Hivi ni sahihi mwanaume kuweka avatar ya ua kama akinamama malisak Mimi nilidhani ni KE ila huu uzi ndiyo umenionesha ni ME na unatoka Tanga
 
Hapa mazingira kazini kwetu kuna bint mmoja jamaa msukuma anamtongoza, sasa kuna siku nikashika simu ya yule bint maana lilikuwa goma langu katika kusoma sms ndio nikakutana za yule jamaaa aisee😄😀😀!!!!

Utafikiri yupo anataka kuhukumiwa kunyongwa jinsi anavyolalamika, nilitamani mwambie ndugu yangu mademu hawatongozwi hivi.

Nimejifunza demu ukilalamika nae atakuona haupo serious, utaona anakusumbua kumbe anapenda unavyolalamika
 
Hizo procedures unatongoza malaika 😂😂😂

Sisi tunafanya hivi...
"Dada habari🙄 umependeza nywele ,brauzi mbaka viatu...
Sasa sikia bibie ntie namba "

Apo umempa na simu kabisa na buttons za number ushaweka.
😛😛😛😛😛😛😛😛
Sahihi zero ishatangulia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom