Wanachokifanya UVCCM sio uzalendo bali uzezeta!

Kwani kimekuwasha nini kumsikiliza mtu kama huyo??siku hizi vijana wote ni zero tu si UVCCM wala BAVICHA wote ni empty head
 
Sio tatizo lake domo lake na kujikomba kwake ndo kula yake sisiem ikianguka kuna vijana wengi wataongezeka kutokua na ajira rock mwakibinga tetea ugali wako tu
 
Hajui anachokisema alivyoambiwa ukipayuka na kutoa masifa utapewa ukuu wa mkoa au ukuu wa wilaya basi nae kaona alopoke wamfikirie ajitahidi tu wamteue akaungane na maboya wenzie
 
Ukiona mtu anaongea na kurusha rusha mikono hewani bila ya sababu za msingi,jua mtu Huyo hajiamini ......huyu kada (kama anavyojiita) hajiamini kwa na ndio maana ana kigugumizi kisicho chake na makada wengi wa chama hasa wa sasa hawajiamini kwa walioangalia speech ya Polepole ile ya lugha ya kiingereza watakubaliana nimi, jamaa anaongea kwa kujikakamua kama anafinywa
 
Kumbe waliofanya mambo ya siasa za uchwara na ushenzi wa ki uchumi ni ukawa? Nilikuwa sijui. Kumbe aliyokuwa akiyapigania lisu ni ya kishenzi? Si kujua. Hongera sana kada
 
..sijui elimu yake ni ndogo au ndiyo ameshiba propaganda.

..kwa kawaida vijana wa umri mzungumzaji kwenye video hupenda sana kuhoji na kuchambua masuala mbalimbali na siyo kumeza kila anachopewa kama inavyoonyesha kwa huyu kijana.

..kama vijana walio wengi upeo wao wa kufikiri ni kama huyu mzungumzaji kwenye video, maana yake ni kwamba Tanzania ina wazee wengi kuliko vijana.



Wewe unategemea kuwa na vijana wa aina gani kama IQ ya msomi wa leo imepitwa na yule wa miaka ya 1980's?
 
Mkuu pesa ni kila kitu,ukiwa ukijani unakuwa na power na POSHO kibao.Ili kuzitetea posho hizo LAZIMA UJITOE AKILI
Mkuu siyo pesa... Nadhani ni uelewa wa mtu na akili kichwani.... Nakumbuka kipindi cha uchaguzi mwaka 2015 nilikuwa upande wa ukawa na sijawahi kuwakubali sisiem... Nikiwa chuoni tulikuwa tunamaliza masomo... Na ilipofika kipindi cha kampeni unakumbuka pesa zilivyokuwa zinagawiwa kama nini... Pamoja na njaa zangu ilikuwa ni mara mia nishinde njaa kuliko kuwa upande wa ccm.. Wenzangu walipiga pesa na kumbuka jimbo la ubungo masaburi (apumzike kwa amani) alikuwa anagawa pesa vijana wengi wa vyuo wakapiga pesa kuanzia kwenye kura za maoni hadi kwenye uchaguzi wenyewe...

Sasa hawa vijana niliomaliza nao tuko mtaani walikuwa upande wa magufuri lakini wanalaani sana na kila siku wananiambia niliona mbali kwa kutomsupport magu.. Wamepigika hawana ajira na mtaani hakuna pesa. Kwa bahati nzuri nimebahatika kupata kibarua na wananipiga mizinga ya vocha... Wanalaani hadi kesho
 
Achaneni na haya mazezeta jamani. haya mambumbu hayajui yatokako wala yaendako! Hivi mnatumia muda nwenu kusikiliza uharo wa hivi vitoto visivyo na maadili?
 
..sijui elimu yake ni ndogo au ndiyo ameshiba propaganda.

..kwa kawaida vijana wa umri mzungumzaji kwenye video hupenda sana kuhoji na kuchambua masuala mbalimbali na siyo kumeza kila anachopewa kama inavyoonyesha kwa huyu kijana.

..kama vijana walio wengi upeo wao wa kufikiri ni kama huyu mzungumzaji kwenye video, maana yake ni kwamba Tanzania ina wazee wengi kuliko vijana.





Yani ningekuwa miongoni mwa hao wanahabari ningenyanyuka taratibu na kunyakua mic yangu na kusepa.
Simple minds is the best asset of the current ccm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom