Wanachokifanya UVCCM sio uzalendo bali uzezeta!

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
18,634
2,000
..sijui elimu yake ni ndogo au ndiyo ameshiba propaganda.

..kwa kawaida vijana wa umri mzungumzaji kwenye video hupenda sana kuhoji na kuchambua masuala mbalimbali na siyo kumeza kila anachopewa kama inavyoonyesha kwa huyu kijana.

..kama vijana walio wengi upeo wao wa kufikiri ni kama huyu mzungumzaji kwenye video, maana yake ni kwamba Tanzania ina wazee wengi kuliko vijana.

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
25,737

Yaani umeshuka hivyo
Hata kichwa cha habari kimekuwa shida hivyo!!
Haya bwana
Ila ukweli
Inakupaswa kuwa Nusu kidogo kichwani hasa uwezo wa kufikiria
Ili kumuunga mkono lissu.
Huyo ni mnafiki na mzandiki
Msaliti alie kubuhu,
Unaacha wazazi na ndugu zako wakitaabika na kuwatetea Wazungu!!
 
timbilimu

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
4,813
2,000
Ni jambo la kusikitisha sana kwa ulimwengu wa leo tunashuhudia vijana kama hawa. COM ingekuwa inao bado vijana kama wale wa miaka ya 70 leo moto ungekuwa unawaka kwa wanachama walio ingiza nchi ktk matatizo haya. Hata mwenyekiti wao wangemuuliza kwa miaka yote 20 akiwa serikalini alifanya nini kusaidia utoroshaji wa madini yetu. Lakini sasa vijana kama hao hawapo tena na wazee wamebakia maboya kama Mwakyembe!
 
Dexaquin

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
219
225
..sijui elimu yake ni ndogo au ndiyo ameshiba propaganda.

..kwa kawaida vijana wa umri mzungumzaji kwenye video hupenda sana kuhoji na kuchambua masuala mbalimbali na siyo kumeza kila anachopewa kama inavyoonyesha kwa huyu kijana.

..kama vijana walio wengi upeo wao wa kufikiri ni kama huyu mzungumzaji kwenye video, maana yake ni kwamba Tanzania ina wazee wengi kuliko vijana.

Huyu jamaa kama anaigiza... haelewi anachokiongea! Anatumia mhemko katika kuongea!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom