Wanachit chat tafadhali

Aisee,
Naona sasa hivi naanza kuzoeleka Chit-Chat against my wish....!
Naomba ishu zote zinazonihusu huku chit-chat aambiwe Madame B, maana tumeunga uhusiano wa karibu, na anajua jinsi ya kunifikishia taarifa zote hata usiku wa manane!
Filipo
sweetlady, marejesho Mungi, Erickb52, Arushaone, msinitajetaje huku bana, mimi sitaki kusutwa umri huu!

PakaJimmy hebu nikumbushe...ni kama nishawahi kukusikia vileee hivi wewe ndio unaishi Nangurukuru au we ni wa kule Mchamba wima?? Nimekusahau please samahani
 
Last edited by a moderator:
Mh..................Mwaka huu mpaka uishe....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
..............Natumaini wote ni wazima, mkiendelea vyema na maandalizi ya weekend....

mie nimepita tu kuwasalimu.....

na salamu za pekee ziwaendee wapendwa wote wavaa boxer wa jf...hususan
Arushaone
figganigga
Erickb52
Asprin
SnowBall
BAK
Saint Ivuga
Dark City (hakuna tanesco kuangaza?)
Baba V
Chimbuvu
Mtambuzi
TANMO
PakaJimmy
St. Paka Mweusi
Bujibuji
mtu chake
Mlachake
Mbuzi Mzee
MUSSOLIN
KakaKiiza
watu8
eliah G

bila kusahau wavaa madera
Kongosho
snowhite
Madame B
@fp
Maj
Natalia
lara 1
Mama v
cacico
amu
Zinduna
afrodenzi
Preta
charminglady
sweetlady

na wengineo woooooooooooooooote wale mtakaoumizwa mioyo wikiendi poleni
Yani sisi ni backbenchers? MUSSOLIN watu8 eliah g Mbuzi Mzee
 
..............Natumaini wote ni wazima, mkiendelea vyema na maandalizi ya weekend....

mie nimepita tu kuwasalimu.....

na salamu za pekee ziwaendee wapendwa wote wavaa boxer wa jf...hususan
Arushaone
figganigga
Erickb52
Asprin
SnowBall
BAK
Saint Ivuga
Dark City (hakuna tanesco kuangaza?)
Baba V
Chimbuvu
Mtambuzi
TANMO
PakaJimmy
St. Paka Mweusi
Bujibuji
mtu chake
Mlachake
Mbuzi Mzee
MUSSOLIN
KakaKiiza
watu8
eliah G

bila kusahau wavaa madera
Kongosho
snowhite
Madame B
@fp
Maj
Natalia
lara 1
Mama v
cacico
amu
Zinduna
afrodenzi
Preta
charminglady
sweetlady

na wengineo woooooooooooooooote wale mtakaoumizwa mioyo wikiendi poleni

pamoko sana mkuuuuuuuu!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Aisee,
Naona sasa hivi naanza kuzoeleka Chit-Chat against my wish....!
Naomba ishu zote zinazonihusu huku chit-chat aambiwe Madame B, maana tumeunga uhusiano wa karibu, na anajua jinsi ya kunifikishia taarifa zote hata usiku wa manane!
Filipo
sweetlady, marejesho Mungi, Erickb52, Arushaone, msinitajetaje huku bana, mimi sitaki kusutwa umri huu!

Nyota ya Madame B inawaka sana mwaka huu! Ila inabidi Madame B umwangalie sana PakaJimmy! Asikufanye kuwa ni kwa "matumizi ya kawaida" badala ya "matumizi ya lazima!"
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom