teh teh labda wako wachache kina ngoshaWatu wa huko hatofautiani sana na wasukuma...
Jamaa hawataki elimu kwa wananchi watakosa watu wajinga.Ndio maana hawataki watu waelimike....
Siyo ajabu wanatamani wawadunge watz wote sindano wawe mambumbumbu...
Kule nako kuna wajinga wa kutosha.Watu wa huko hatofautiani sana na wasukuma...
Lakini mkuu kumbuka kuwa ni heri kuzaliwa Tanzania kuliko kuzaliwa Somalia.hivi kwa nn nimezaliwa Tanzania!
Umeharibu habari yako na ubavicha bavicha uliotukuka....lilisindikizwa na akina baba waliovalia makofia ya kijani na matisheti ya kijani pamoja na suruali nyeusi lakini zikionekana zimechakaa sana ama kwa kuvaliwa kwa muda mrefu, au zikiwa pengine zimeokotwa kwenye madampo!
Wanachama hao ambao kwa wingi wao walivyoonekana wamekuwa kwa muda mrefu wakiandamwa na matatizo mbalimbali, kubwa likiwa ukosefu wa elimu (yaani ujinga), mengine ni barabara mbovu, kukosekana kwa maji safi, umaskini, huduma mbovu za afya...