Wanachama wa CCM Chagueni Viongozi Wazuri na Sio Watoa Rushwa

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
3,996
2,000
image.jpeg

Tarehe 12 July mwaka 2015 huko Dodoma alikamatwa mtu mwenye asili ya kiasia akiwa na mabilioni ya fedha za kitanzania ambazo inasemekana mmoja wa ugombea urais alikuwa na mpango wa kuwanunua wajumbe ili wamchague awe mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.

Kitendo kile kililetea sifa mbaya sana CCM kiasi ambacho ni mojawapo ya sababu katika uchaguzi wa 2015 CCM ilipata wakati mgumu katika kampeni zake.

Sasa hivi Mwenyekiti wa CCM John Magufuli ameonyesha wazi anachukia rushwa ki kweli kweli, ni wajibu wenu kama wanachama kumsaidia katika kuchagua viongozi wazuri wenye elimu, wasio na dosari yeyote na wanaochukia rushwa ili apate wasaidizi wazuri katika kuijenga Chama cha Mapinduzi kipya.

Tayari kuna malalamiko kwenye chaguzi za wilaya na kata kuna baadhi ya viongozi wamejaribu kutumia rushwa kwenye chaguzi zilizofanyika.

Naomba uongozi mkuu wa CCM makao makuu kuwaijibisha wasimamizi wote wakiwemo makatibu wa wilaya ama mkoa kama itabaiinika wameruhusu rushwa kutumika kwenye chaguzi zinazokuja ngazi za mikoa.

Tanzania Bila Rushwa Inawezekana.
 
Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
3,996
2,000
Kabisa Sky Eclat pia asingetoa rushwa kwa Wabunge ya milioni 10 kila mmoja ili muswaada wake uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini upitishwe bungeni.

Mkuu utatoa kila aina ya lugha za kifedhuli dhidi ya Rais Magufuli lakini majority ya watanzania wanajua anachokifanya najua Rais Magufuli amegusa Interest zenu nyingi zilizokuwa zikiiletea taifa hili hasara na sifa mbaya. Hicho chama cha Chadema kimegeuka kuwa chama cha Materialistic na Opportunities katika kutafuta madaraka bila hata kuheshimu Demokrasia. Kwa kumaliza President Magufuli is a great asset to United Republic of Tanzania.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
100,342
2,000
Wa Chadema mwingine huyu hapa kutoka katika lile kundi la wanaowashwa washwa.

Mwinyi: Nchi sasa inakwenda kama Gari bovu

Mkuu utatoa kila aina ya lugha za kifedhuli dhidi ya Rais Magufuli lakini majority ya watanzania wanajua anachokifanya najua Rais Magufuli amegusa Interest zenu nyingi zilizokuwa zikiiletea taifa hili hasara na sifa mbaya. Hicho chama cha Chadema kimegeuka kuwa chama cha Materialistic na Opportunities katika kutafuta madaraka bila hata kuheshimu Demokrasia. Kwa kumaliza President Magufuli is a great asset to United Republic of Tanzania.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
100,342
2,000
Kwa taarifa yako hakuna interest yangu yoyote iliyoguswa pamoja na hayo hainizuii kumjadili dikteta uchwara, mwizi, muongo, fisadi ambaye kwa maneno yake mwenyewe alisukumizwa kuingia Ikulu. Mtu aliyejawa chuki za kutisha, visasi na kuendesha nchi kwa vitisho vya hali ya juu.

Huwezi kumuita mtu kama huyu ambaye hata mkewe aligoma kumfanyia kampeni eti ni great asset of URT!!! Asset ya Taifa haiwaibii wananchi wenzie, haifanyi ufisadi, haiwatukani wafuasi, haidharau sheria za nchi, katiba na Bunge wala haiteki, kutesa na kuua Watanzania wenzie. Acha kufananisha asset za Taifa na watu wa ajabu ajabu!!

Mkuu utatoa kila aina ya lugha za kifedhuli dhidi ya Rais Magufuli lakini majority ya watanzania wanajua anachokifanya najua Rais Magufuli amegusa Interest zenu nyingi zilizokuwa zikiiletea taifa hili hasara na sifa mbaya. Hicho chama cha Chadema kimegeuka kuwa chama cha Materialistic na Opportunities katika kutafuta madaraka bila hata kuheshimu Demokrasia. Kwa kumaliza President Magufuli is a great asset to United Republic of Tanzania.
 
jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,343
2,000
Fisadi

Mwizi

Mtukanaji wananchi

Ana-support rushwa kwa kupandisha vyeo watuhumiwa wa rushwa,

Mtu wa visasi,

Mkabila

Asiyeshaurika

Mpenda kiki

Mminya demokrasia na uhuru wa kujieleza,

Sijamtaja mtu hapa nilikuwa naandika tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Sam bm

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
285
250
Magufuli angechukia rushwa asingempandisha cheo Mnyeti baada ya kashfa ya kununua madiwani
Una uhakika kama mnyeti alinunua madiwani? Au na ww ndio wale wakiambiwa kila kitu ni "yes"
View attachment 625222 Tarehe 12 July mwaka 2015 huko Dodoma alikamatwa mtu mwenye asili ya kiasia akiwa na mabilioni ya fedha za kitanzania ambazo inasemekana mmoja wa ugombea urais alikuwa na mpango wa kuwanunua wajumbe ili wamchague awe mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM. Kitendo kile kililetea sifa mbaya sana CCM kiasi ambacho ni mojawapo ya sababu katika uchaguzi wa 2015 CCM ilipata wakati mgumu katika kampeni zake.
Sasa hivi Mwenyekiti wa CCM John Magufuli ameonyesha wazi anachukia rushwa ki kweli kweli, ni wajibu wenu kama wanachama kumsaidia katika kuchagua viongozi wazuri wenye elimu, wasio na dosari yeyote na wanaochukia rushwa ili apate wasaidizi wazuri katika kuijenga Chama cha Mapinduzi kipya.
Tayari kuna malalamiko kwenye chaguzi za wilaya na kata kuna baadhi ya viongozi wamejaribu kutumia rushwa kwenye chaguzi zilizofanyika. Naomba uongozi mkuu wa CCM makao makuu kuwaijibisha wasimamizi wote wakiwemo makatibu wa wilaya ama mkoa kama itabaiinika wameruhusu rushwa kutumika kwenye chaguzi zinazokuja ngazi za mikoa.
Tanzania Bila Rushwa Inawezekana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom