Wanachama 600 wa CCM wachana kadi zao Muheza !

Wanachama 600 wa CCM wachana kadi zao Muheza !

Wanajukwaa!

Mnyukano wa kura za maoni ccm inazidi kukipasua chama hicho. Leo wanachama 600 muheza wachana kadi zao na kutishia kuhamia upinzani!

Source: ITV habari saa mbili!

Mwishoe watabak baba ritz na mama ritz tuu!
 
Ni ujinga tu ya baadhi ya watanzania ndio uliokuwa unaipa CCM ushindi miaka ya nyuma bt kwa sasa wajinga hao wa zamani wamegeuka na kuwa werevu kwani CHADEMA, LOWASSA na UKAWA hawakamatiki kwa sasa. Eeehee Mungu jalia mpango wako wa kuwaletea watanzania ukombozi wa pili utimie.
 
ha ha ha ... Hivi mtu unawezaje kutetea CCM na wakati unaona maisha yalivo mabaya kwa mtanzania wa kawaida /

hivi raia wa kawaida mwenye maisha ya kuunga unga...ukimkuta anashabikia ccm unamuonaje ....Honestly mi nawaonaga ma bogus kichiz....

au unakuta mtu yuko chuo...kakosa mkopo.....anasoma kwa kuomba omba huku anaona watu wamegawana 'consultant fee 1.6b' ....halafu anaipigia debe ccm ha ha ha Watu wengine ni ma zombie...serious...

mazombi:ranger:

we unahisi ukawa ikishika dola maisha yako yatakuwa mazuri,ebu fikiri nje ya box
 
we unahisi ukawa ikishika dola maisha yako yatakuwa mazuri,ebu fikiri nje ya box

Atleast...waache washike dola tuone..., and i sure yatakua bora zaidi....maana hapa tulipo saivi ni hell already..
 
Back
Top Bottom