Swali lako linamaanisha nini? kwani hata makao makuu wangekuwa wanajua wana uwezo wa kuzuia hukumu? fikiria kidogo kule Arusha taarifa zilikuwepo za hukumu itakayo tolewa niambie walibadirisha hukumu? usipende kuuliza maswali ambayo hayana msingi kama huna cha kuandika soma na pita tu.Hii habari uongozi makao makuu haukuwa na hii habari kabla ya hukumu?
Hii habari uongozi makao makuu haukuwa na hii habari kabla ya hukumu?
Hii habari makao makuu wanapaswa kuingilia kama mkoa wameshindwa.
Hongera mkuu fuatlia kwa makini na hakikisha haki inatendeka!!usibakie kutoa taarifa fuatilia na utoe taarifa!!Wanachama 3 wa cdm wamefungwa miaka 3 jela ktk mah ya mwanzo ya kijiji cha iyula wilayani mbozi.baada ya kuzuliwa kesi na mwenyekiti wa kijiji cha ichesa wilayani mbozi kuwa walitaka kumuua.kabla ya hapo mwenyekiti alikuwa ametangaza kuwa atahakikisha vyama vya upinzani havipati nafasi ya kujiimarisha ktk eneo lake.vijana hao walikamatwa waliopokuwa wanatangaza sera za chama chao ilikujaribu kukitwaa kiti cha udiwani wa kata ya ichesa pindi uchaguzi utakapoitishwa baada ya kifo cha diwani wa ccm. hivyo mwenyekiti kuingiwa na wasiwasi kuwa huenda kata hiyo isitwaliwe tena na ccm.viongozi wa wilaya cdm wamekata rufaa na itasikilizwa 20 07 2012 baada ya kutumikia kifungo cha mwezi 1.
Chama kiwasaidie hawa vijana kukata rufaa.Mungu wasaidie makamanda hata Mandela alizamishwa ndani miaka 26